Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond
Naseeb ‘Diamond Platnumz’ Abdul amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii yeyote anayetaka kuwa wa kimataifa, kwasababu ndio kiungo kikubwa na muhimu kati ya msanii na wadau muhimu wa nje. Diamond amesimulia jinsi ambavyo kiingereza kilimpa changamoto wakati alipoanza kulitafuta soko la kimataifa na kumsababisha afanye juhudi binafsi za kujifunza. “Mwaka jana nilipata […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.
“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa
Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.
Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...
9 years ago
Bongo521 Sep
Bobi Wine asema hana mpango wa kwenda kimataifa, anaridhika kuwa msanii wa ndani
10 years ago
Bongo525 Aug
Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha
10 years ago
Bongo504 Sep
Nay Wa Mitego atoa sababu za kwanini halipishi msanii anayetaka kufanya nae collabo
10 years ago
Bongo503 Jan
Wasanii wa Rwanda wachukizwa na kauli ya Diamond kuwa hawajitangazi kimataifa, mmoja amdiss jukwaani!
9 years ago
Bongo522 Dec
Mwana FA: Msanii kutoa album ni kitu cha lazima
![mwana Fa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/mwana-Fa-300x194.jpg)
Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wa kitambo ambao hadi sasa wanaendelea kufanya muziki, tena kwa upande wake ameanza kufanya kwa level za kuelekea kimataifa.
FA ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Asanteni Kwa Kuja’, wimbo ambao video yake imefanyika Afrika Kusini, ametoa msimamo wake kuhusu umuhimu wa album kwa msanii.
“Kufanyika albam ni lazima lakini tuje na idea ni jinsi gani tutauza, tunaweza kuifanya hii kazi ya distribution wenyewe, au tunaweza kuwafikia wale watu ambao wahindi...