Mwana FA: Msanii kutoa album ni kitu cha lazima
Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wa kitambo ambao hadi sasa wanaendelea kufanya muziki, tena kwa upande wake ameanza kufanya kwa level za kuelekea kimataifa.
FA ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Asanteni Kwa Kuja’, wimbo ambao video yake imefanyika Afrika Kusini, ametoa msimamo wake kuhusu umuhimu wa album kwa msanii.
“Kufanyika albam ni lazima lakini tuje na idea ni jinsi gani tutauza, tunaweza kuifanya hii kazi ya distribution wenyewe, au tunaweza kuwafikia wale watu ambao wahindi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yIRAODsxTEyboTS3I9TGOYSvKranhCcpIAuEhdidAT98enuyqmFs9HGmdcYFo6u6MzX*9ajkNKBVIIWTwYg0T31UEHl7cJzc/mpekeepek.jpg?width=650)
OYA MWANA LAZIMA KIJASHO CHEMBABA KIKUTOKE!
10 years ago
Mtanzania07 May
Mwana FA: Msanii kukaa kimya ni heshima
NA JENNIFER ULLEMBO
WAKATI wasanii wengi wa Bongo Fleva wakifikiria kutoa nyimbo zao mfululizo, msanii mwenzao, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ anaendelea kutunza heshima yake kwa kutokutoa wimbo kwa muda mrefu.
Mwana FA aliliambia MTANZANIA kwamba, msanii kuwa kimya si kuishiwa mashairi bali ni hali ya kutunza heshima yako kwa mashabiki.
Alifafanua kwamba, idadi kubwa ya wasanii wanaofanikiwa katika muziki huo hutumia muda mwingi kufikiria vitu vipya ili kuboresha kazi zao tofauti na...
9 years ago
Bongo521 Oct
Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond
11 years ago
Bongo516 Jul
R.Kelly atangaza kutoa album ya muziki wa ‘House’
9 years ago
Bongo520 Aug
Christian Bella hana mpango wa kutoa album
10 years ago
Bongo519 Sep
Davido ampongeza Wizkid kwa kutoa album mpya
10 years ago
Bongo513 Feb
Kwanini ni muhimu wasanii wa Tanzania waanze kutoa album tena!
9 years ago
Bongo527 Nov
Babu Tale awashauri wasanii kutoa album na kuacha kuhofia kuibiwa
![babu-tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/babu-tale-200x133.jpg)
Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amewataka wasanii wa Tanzania kuacha kuogopa kutoa album kwa madai ya kuogopa kuibiwa.
Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio, Tale alisema zipo nchi ambazo zinaongoza kwa wizi wa kazi za wasanii lakini bado wasanii wao wanatoa album.
“Wizi upo dunia nzima,” alisema Tale. “Ukienda Nigeria kuanzia airport wanafanya piracy. Hata Marekani, nafikiri ndio nchi ambayo inatushinda sisi hata kwa mambo ya digital lakini still bado wanatoa album na...
10 years ago
Bongo505 Dec
Lil Wayne atishia kuondoka YMCMB, awalaumu kwa kuzuia kutoa album yake