R.Kelly atangaza kutoa album ya muziki wa ‘House’
Muimbaji wa R&B, Robert Kelly ametangaza kuwa anatarajia kutoa album ya muziki wa ‘House’ ambayo tayari ameanza kuiandaa. “I’m working on a house album right now and I want y’all to know, it’s coming,” Alisema Kelly. R.Kelly ambaye album yake ya 12 ‘Black Panties’ iliyotoka december 10, 2013 Marekani, imekamata nafasi ya 4 katika Billboard […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
9 years ago
Bongo531 Oct
Wizkid asema R.Kelly alimpigia simu kumwomba kufanya naye collabo kwaajili ya album yake
![wizkidayo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/wizkidayo-94x94.png)
9 years ago
Bongo513 Nov
R.Kelly atoa orodha ya nyimbo na cover ya album yake mpya ambayo Wizkid pia kashirikishwa
![r.kelly buffet](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/r.kelly-buffet-300x194.jpg)
Mfalme wa Rnb duniani Robert Kelly maarufu kama R.Kelly yuko mbioni kuachia album yake mpya na ya 13 aliyoipa jina la ‘The Buffet’ kabla mwaka haujaisha.
Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 15 inatarajiwa kutoka December 11.
Hii ndio album ambayo Wizkid alizungumzia alipokuja Tanzania hivi karibuni, kuwa R.Kelly alimpigia simu na kumuomba amshirikishe kwenye wimbo utakaokuwemo kwenye album yake (Ingia hapa). Wimbo ambao kashirikishwa Wizkid unaitwa ‘I Just Want to Thank You’.
Wasanii wengine...
10 years ago
CloudsFM20 Nov
ALLY KIBA AFUNGUKA MADAI YA KUTOMTUMIA R KELLY KAMA FURSA KWENYE MUZIKI WAKE
Mkali wa ngoma ya Mwana DSM, Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya One 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika waliteuliwa na kwenda nchini Marekani wakakaa studio moja na msanii wa kimataifa R Kelly, ambaye aliwaandikia ngoma ya Hands Across The World na Wakai Record.
Ndani ya ngoma hiyo kuna sauti za wasanii kama 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally Ipupa. Project hiyo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.
Sasa zengwe limeibuka hivi...
9 years ago
Bongo509 Nov
Kamikaze atangaza kuachia album ya Rap
![kamikaze](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kamikaze-300x194.jpg)
Msanii anayeiwakilisha Singida, Cyrill Kamikaze ametangaza kurudi kwenye aina ya muziki aliyokuwa akifanya awali (Rap) baada ya kutoa nyimbo za kuimba mfululizo kwa kipindi kirefu.
Akizungumza katika Kipindi cha Bongo Fleva cha Cloudsfm Jumamosi iliyopita, Kamikaze amesema kuwa kutokana na maoni mengi aliyopata kutoka kwa mashabiki wake, ameamua kuja na album ya Rap itakayokuwa na nyimbo 13.
Alisema kuwa album hiyo itatoka hivi karibuni.
Kamikaze ambaye ameshafanya nyimbo za kuimba kama...
9 years ago
Bongo508 Oct
Rihanna atangaza jina la album yake mpya
9 years ago
Bongo509 Oct
Iggy Azalea atangaza jina la album yake mpya
9 years ago
Bongo503 Oct
Justin Bieber atangaza jina la album mpya na tarehe ya kutoka