Lil Wayne atishia kuondoka YMCMB, awalaumu kwa kuzuia kutoa album yake
Lil Wayne ameishutumu label yake ya Young Money (YMCMB) kwa kuzuia kutoa album yake ya ‘Tha Carter V’ na kutishia kuondoka kwenye label hiyo. Weezy ameandika tweet kama mvua za kulalamika, “Kwa mashabiki wangu wote, nataka wote mjue kwamba album yangu haitatoka na haijatoka kwasababu Baby (Bird Man) na Cash Money Rec wamekataa kuitoa”. Aliandika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Dec
Lil Wayne atishia kuishtaki Cash Money endapo itashindwa kutoa album yake ‘Tha Carter V’
10 years ago
Bongo527 Jan
Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj
9 years ago
Bongo503 Nov
Lil Wayne atangaza tarehe ya kuachia mixtape yake ‘No Ceilings 2’
![Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lil-Wayne-no-ceilings-2-mixtape-300x194.jpg)
Rapper Lil Wayne ametangaza tarehe atakayoachia mixtape yake ya ‘No Ceilings 2’ ambayo ni mwendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2009 ‘No Ceilings’.
Kupitia Twitter rapper huyo alishare covert ya mixtape hiyo ambayo amesema itatoka Nov. 26.
Tayari kuna nyimbo mpya ambazo Lil Wayne amekuwa akiziperform kwenye shows.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Bongo510 Sep
Music: Lil Durk Ft. Lil Wayne, Fetty Wap, & Jeremih – Like Me (Remix)
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Kocha wa Mgambo atishia kuondoka
10 years ago
Bongo528 Aug
New Video: Lil Wayne — Krazy