Lil Wayne atishia kuishtaki Cash Money endapo itashindwa kutoa album yake ‘Tha Carter V’
Ule ugomvi wa Lil Wayne na label ya Cash Money bado unaendelea na inavyoonekana unaelekea pabaya zaidi. Inadaiwa kuwa rapper huyo sasa ana mpango wa kuishtaki label hiyo endapo itaendelea kukataa kutoa album yake ya “Tha Carter V”. Vyanzo vya karibu vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Weezy ametoa ombi la mwisho kwa maandishi kwa lebel […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo505 Dec
Lil Wayne atishia kuondoka YMCMB, awalaumu kwa kuzuia kutoa album yake
10 years ago
Bongo527 Jan
Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj
10 years ago
Africanjam.Com
LIL' WAYNE AIFUNGULIA KESI CASH MONEY RECORDS KISA NICKI MINAJ NA DRAKE

So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?

10 years ago
Bongo503 Nov
Lil Wayne atangaza tarehe ya kuachia mixtape yake ‘No Ceilings 2’

Rapper Lil Wayne ametangaza tarehe atakayoachia mixtape yake ya ‘No Ceilings 2’ ambayo ni mwendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2009 ‘No Ceilings’.
Kupitia Twitter rapper huyo alishare covert ya mixtape hiyo ambayo amesema itatoka Nov. 26.
Tayari kuna nyimbo mpya ambazo Lil Wayne amekuwa akiziperform kwenye shows.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
10 years ago
Bongo510 Sep
Music: Lil Durk Ft. Lil Wayne, Fetty Wap, & Jeremih – Like Me (Remix)
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’

Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.
“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.
“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....
11 years ago
Bongo510 Oct
Rais wa Nigeria atishia kuishtaki website iliyomtaja kwenye orodha ya marais tajiri Africa