Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Nigeria atishia kuishtaki website iliyomtaja kwenye orodha ya marais tajiri Africa

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametishia kuishtaki website iliyomtaja kama mmoja wa marais 10 wa Africa matajiri zaidi. Mtandao huo uitwao. richestlifestyle.com umemtaja Jonathan kama rais wa sita kwa utajiri wake wa dola milioni 100 Maelezo kutoka ofisi yake yamedai kuingizwa kwake kwenye orodha hiyo hakuna ukweli na ni jaribio la kutaka kumuonesha kama fisadi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Lil Wayne atishia kuishtaki Cash Money endapo itashindwa kutoa album yake ‘Tha Carter V’

Ule ugomvi wa Lil Wayne na label ya Cash Money bado unaendelea na inavyoonekana unaelekea pabaya zaidi. Inadaiwa kuwa rapper huyo sasa ana mpango wa kuishtaki label hiyo endapo itaendelea kukataa kutoa album yake ya “Tha Carter V”. Vyanzo vya karibu vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Weezy ametoa ombi la mwisho kwa maandishi kwa lebel […]

 

10 years ago

Bongo5

Richest African Presidents 2014: Orodha ya Marais 9 matajiri zaidi wa Kiafrika

Mtandao wa Richestlifestyle.com umetoa orodha yake ya Marais na Wafalme 9 matajiri zaidi wa kiafrica 2014 (Richest African Presidents 2014). Anayeongoza kwenye nafasi ya kwanza ni Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos mwenye utajiri unaofikia $20 Billion. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ndiye Rais pekee wa Afrika mashariki kwenye orodha hiyo akiwa kwenye nafasi […]

 

10 years ago

Bongo5

Profesa Jay afungua website yake rasmi (official website)

Profesa Jay ameingia kwenye list ya wasanii wa Tanzania ambao wameona haja na umuhimu wa kufungua website zao, kwa kuanzisha website yake www.profesajay.com ambayo itakuwa inaweka matukio mbalimbali yanayohusu kazi zake, na kurahisisha upatikanaji wa habari zake, nyimbo pamoja na video zake. “Nimeamua kuwa na website yangu kuzidi kujitengeneza, kujipackage na mtu aweze kukufikia kirahisi… […]

 

10 years ago

BBC

BBC News website changes for Africa coverage

BBC launches new way to keep up with African news

 

9 years ago

Bongo5

Watanzania washindwa kung’ara kwenye ‘The Future Awards Africa 2015’ Nigeria

Vanessa

Tanzania ilikuwa na wawakilishi watatu kwenye tuzo za ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) za mwaka huu zilizotolewa Jumapili Dec.6 huko jijini Lagos, Nigeria. Miongoni mwa waliotuwakilisha alikuwemo muimbaji wa ‘Never Ever’ Vanessa Mdee.

Vanessa

Bahati haikuwa yetu safari hii kwani hakuna muwakilishi wetu yeyote aliyeibuka na tuzo. Mbali na Vanessa wengine waliotuwakilisha ni Felix Richard Manyogote na Witness Sanga. Vanessa alienda Nigeria kuhudhuria tuzo hizo.

Mwaka jana (2014) Diamond Platnumz...

 

11 years ago

Bongo5

Mandela Day: Mafikizolo na Davido watumbuiza kwenye show iliyooneshwa live kupitia website ya MTN

Show ya bure iliyodumu kwa dakika 67 imefanyika leo jijini Johannesburg, Afrika Kusini kuadhimisha siku ya Mandela. Mafikizolo wakitumbuiza Tamasha hilo limeonekana live kupitia website ya MTN ambapo wateja wake barani kote waliweza kuiangalia mchana wa Ijumaa hii. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Davido, Emmy Gee, KCee, Harry Song, Mafikizolo, Oskido, Uhuru na Black Motion. […]

 

9 years ago

Bongo5

Ningezaliwa Marekani, Nigeria au SA ningekuwa tajiri mwenye hela nyingi sana — Jaffarai

Rapper Jaffarai anaamini kuwa soko la muziki la Tanzania halijakitendea haki kipaji chake ambacho thamani yake kama angekuwa amezaliwa nchini Marekani, Nigeria au Afrika Kusini ambako muziki uko juu basi angekuwa tajiri. “Kitu kikubwa kinachonigharimu ni kuzaliwa Tanzania na huu muziki wangu but kama ingekuwa nimezaliwa Marekani, South Africa, Nigeria au kwa nchi ambayo muziki […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani