LIL' WAYNE AIFUNGULIA KESI CASH MONEY RECORDS KISA NICKI MINAJ NA DRAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-k6X35hytsdg/VYmJR-W0L7I/AAAAAAAACLY/jqwv2p6hNxc/s72-c/nicki-drake.jpg)
Msanii na mmoja kati ya watu wanaounda team ya Cash Money (CMB) Records Lil Wayne aliingia kwenye headlines kipindi cha nyuma kwa madai ya kutaka kutoka katika label hio ya muziki. Headlines mpya leo ni kwamba msanii huyo wa Hiphop amefungua kesi mahakamani dhidi ya Cash Money kwa madai ya kwamba eti Nicki Minaj na Drake hawana usimamizi mzuri chini ya lebo hio.
So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?Katika documents zilizowasilishwa...
africanjam.com