Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwana FA: Msanii kukaa kimya ni heshima

MWANAFANA JENNIFER ULLEMBO
WAKATI wasanii wengi wa Bongo Fleva wakifikiria kutoa nyimbo zao mfululizo, msanii mwenzao, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ anaendelea kutunza heshima yake kwa kutokutoa wimbo kwa muda mrefu.
Mwana FA aliliambia MTANZANIA kwamba, msanii kuwa kimya si kuishiwa mashairi bali ni hali ya kutunza heshima yako kwa mashabiki.
Alifafanua kwamba, idadi kubwa ya wasanii wanaofanikiwa katika muziki huo hutumia muda mwingi kufikiria vitu vipya ili kuboresha kazi zao tofauti na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Baada ya kimya kirefu Ali Kiba aachi nyimbo mbili mfululizo “Kimasomaso” na “Mwana Dar” zisikilize hapa!

Alikiba - Mwana Cover Done CD-1

Unaweza kusoma Profile ya Ali Kiba hapo chini

Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa’s biggest stars and his name is steadily becoming a household name internationally.
So influential is Alikiba that the Tanzania’s president Jakaya Mrisho Kikwete honored him for his invaluable contribution to Tanzanian Music and Arts and Culture feted him.

In 2011, Alikiba was voted as “the most...

 

11 years ago

GPL

OHOOO… ETI MWANA ANAWEKA HESHIMA TAUNI!

Saluti kwa wakali wangu wote mnaotupiamo hapa jamvini. Inakuwaje kitaa cha pili hapo? Nawasoma ileile wazazi. Kama vipi mizinguo tupa kule tulisongeshe. Ama nini! Basi mia! Oyaaa…masela sijui ni kwa saidi yangu, bati naona kama hili laifu linakwenda fasta kinomanoma na vitu vinachenji kwiki. Unaambiwa ukweli wa tudei ni uwongo wa tumoro. Umeona eeh... Ninaposema laifu limechenji namaanisha kwamba kuna michongo ya kizamani...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Msanii kutoa album ni kitu cha lazima

mwana Fa

Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wa kitambo ambao hadi sasa wanaendelea kufanya muziki, tena kwa upande wake ameanza kufanya kwa level za kuelekea kimataifa.

mwana Fa

FA ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Asanteni Kwa Kuja’, wimbo ambao video yake imefanyika Afrika Kusini, ametoa msimamo wake kuhusu umuhimu wa album kwa msanii.

“Kufanyika albam ni lazima lakini tuje na idea ni jinsi gani tutauza, tunaweza kuifanya hii kazi ya distribution wenyewe, au tunaweza kuwafikia wale watu ambao wahindi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya

Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.

Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.

Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA

Yanga imerejea kileleni Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Prisons ya Mbeya kwa mabao 3-0.Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 48 dhidi ya Azam FC yenye 46 ambayo imelazimishwa sare ya bila mabao dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.Yanga imebuka na ushindi huo mnono kwenye Uwanja wa ugenini wa Sokoine jijini Mbeya ikiwa ni baada ya viungo wake Simon Msuva na Andrey Coutinho kufunga.Msuva amepachika mabao mawili, huku Coutinho na kukamilisha idadi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel

Usher Raymond amerudisha tena title yake ya kuwa mume wa mtu, baada ya kufunga ndoa na girlfriend wake wa muda mrefu Grace Miguel, ambaye pia ni meneja wake. Tetesi za Usher kufunga ndoa zilianza baada ya kuonekana akiwa amevaa pete ya ndoa ya dhahabu alipokuwa vacation huko Havana, Cuba, na baadae E! Online walithibitisha uvumi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani