OHOOO… ETI MWANA ANAWEKA HESHIMA TAUNI!
Saluti kwa wakali wangu wote mnaotupiamo hapa jamvini. Inakuwaje kitaa cha pili hapo? Nawasoma ileile wazazi. Kama vipi mizinguo tupa kule tulisongeshe. Ama nini! Basi mia! Oyaaa…masela sijui ni kwa saidi yangu, bati naona kama hili laifu linakwenda fasta kinomanoma na vitu vinachenji kwiki. Unaambiwa ukweli wa tudei ni uwongo wa tumoro. Umeona eeh... Ninaposema laifu limechenji namaanisha kwamba kuna michongo ya kizamani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 May
Mwana FA: Msanii kukaa kimya ni heshima
NA JENNIFER ULLEMBO
WAKATI wasanii wengi wa Bongo Fleva wakifikiria kutoa nyimbo zao mfululizo, msanii mwenzao, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ anaendelea kutunza heshima yake kwa kutokutoa wimbo kwa muda mrefu.
Mwana FA aliliambia MTANZANIA kwamba, msanii kuwa kimya si kuishiwa mashairi bali ni hali ya kutunza heshima yako kwa mashabiki.
Alifafanua kwamba, idadi kubwa ya wasanii wanaofanikiwa katika muziki huo hutumia muda mwingi kufikiria vitu vipya ili kuboresha kazi zao tofauti na...
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
GPLKILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?
11 years ago
GPLKILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Ugonjwa wa tauni wawaua 40 Madagascar
5 years ago
MichuziISAAC NEWTON; PROFESA ALIYETUMIA VYEMA MUDA WAKATI WA JANGA LA TAUNI KUGUNDUA NADHARIA ZA KISAYANSI
Leandra Gabriel, Michuzi TV
MWAKA 1665 kulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Tauni uliojulikana zaidi kama "Black Death" nchini Uingereza hali iliyopelekea shule, vyuo na huduma mbalimbali za kijamii kuzuiliwa kwa muda kwa lengo la kupunguza kasi ya maambukizi ya Tauni kama inavyofanyika sasa ambapo dunia inakabiliwa na mlipuko wa virusi vya Corona (Covid-19.)
Wakati huo Isaac Newton alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cambridge na hakuwa Profesa na alilazimika kurudi nyumbani kati ya mwaka 1665...
11 years ago
GPLTundu Lissu…
10 years ago
GPLLOWASSA: PIPOOOZ… PAWAAAAA!
11 years ago
GPLRIYAMA: MCHUMBA NINAYE LAKINI…