Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISAAC NEWTON; PROFESA ALIYETUMIA VYEMA MUDA WAKATI WA JANGA LA TAUNI KUGUNDUA NADHARIA ZA KISAYANSI


 Leandra Gabriel, Michuzi TV
MWAKA 1665 kulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Tauni uliojulikana zaidi kama "Black Death" nchini Uingereza hali iliyopelekea shule, vyuo na huduma mbalimbali za kijamii kuzuiliwa kwa muda kwa lengo la kupunguza kasi ya maambukizi ya Tauni kama inavyofanyika sasa ambapo dunia inakabiliwa na mlipuko wa virusi vya Corona (Covid-19.)
Wakati huo Isaac Newton alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cambridge na hakuwa Profesa na alilazimika  kurudi nyumbani kati ya mwaka 1665...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mr Blue aliacha uigizaji baada ya kugundua anapoteza tu muda

Mr Blue amesema aligundua sanaa ya uigizaji wa filamu haulipi kuliko muziki ndio maana aliachana nayo. sasa hivi kaonekani kwenye tasnia hiyo. Blue ambaye alionekana kwenye filamu ya Pretty Teacher na House Boy, ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa, baada ya kuingia kwenye filamu na akagundua hakuna maslahi aliamua kuachana na kazi hiyo. “Nilikuwa najaribu zali […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uzazi wakati wa janga la corona

Wakati huu wa mlipuko wa corona umekuwa wa tofauti kwa wazazi wanaopata watoto wapya kwa kuwa imekuwa si rahisi kwa watu kutembeleana kwenda kumuona mtoto mpya nyumbani au hospitalini.

 

5 years ago

Michuzi

SALAMU KATIKA PICHA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene,  Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

BBCSwahili

Hali ikoje misikitini wakati huu wa janga la corona?

Hali ikoje misikitini wakati huu wa janga la corona ambapo tayari wengine wameanza kusherehekea sikukuu ya Eid?

 

5 years ago

Michuzi

MIAKA 102 ILIYOPITA, MASHABIKI WAKIANGALIA MPIRA WAKATI WA JANGA LA SPANISH FLU


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NI miaka 102 sasa tangu Thomas Carter mwanafunzi wa Georgia aliyekuwa akichukua shahada ya uhandisi kuchukua picha iliyowaonesha mashabiki wakiwa wanatazama mpira katika kipindi cha mlipuko wa homa kali ya mafua (Spanish Flu) mwaka 1918.

Picha hiyo ambayo inasambaa kwa kasi wakati huu ambao shughuli mbalimbali zikirejea duniani ikiwemo michezo na hiyo ni mara baada upepo mkali wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) kupiga...

 

5 years ago

Michuzi

BrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona

Kampuni ya uajiri na usimamizi wa rasilimali watu ya BrighterMonday Tanzania imeanzisha programu iitwayo ‘Umoja Wakati wa Shida’ inayotoa nafasi kwa waajiri (makampuni na watu binafsi) kutangaza kazi kwenye tovuti yao bure kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo, wakati ambao taifa linakabiliana na janga la maradhi ya virusi vya Corona.
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kulia) na Katibu Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

SADC TUIMARISHE UMOJA NA MSHIKAMANO WETU WAKATI HUU KUENEA KWA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA-PROF.KABUDI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba kabudi (Mb) (wa kwanza kushoto) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya mawaziri pamoja na maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani