Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mr Blue aliacha uigizaji baada ya kugundua anapoteza tu muda

Mr Blue amesema aligundua sanaa ya uigizaji wa filamu haulipi kuliko muziki ndio maana aliachana nayo. sasa hivi kaonekani kwenye tasnia hiyo. Blue ambaye alionekana kwenye filamu ya Pretty Teacher na House Boy, ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa, baada ya kuingia kwenye filamu na akagundua hakuna maslahi aliamua kuachana na kazi hiyo. “Nilikuwa najaribu zali […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ISAAC NEWTON; PROFESA ALIYETUMIA VYEMA MUDA WAKATI WA JANGA LA TAUNI KUGUNDUA NADHARIA ZA KISAYANSI


 Leandra Gabriel, Michuzi TV
MWAKA 1665 kulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Tauni uliojulikana zaidi kama "Black Death" nchini Uingereza hali iliyopelekea shule, vyuo na huduma mbalimbali za kijamii kuzuiliwa kwa muda kwa lengo la kupunguza kasi ya maambukizi ya Tauni kama inavyofanyika sasa ambapo dunia inakabiliwa na mlipuko wa virusi vya Corona (Covid-19.)
Wakati huo Isaac Newton alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cambridge na hakuwa Profesa na alilazimika  kurudi nyumbani kati ya mwaka 1665...

 

11 years ago

Mwananchi

Nini hatima ya Tanzania baada ya kugundua mafuta- 2

Wiki iliyopita tulieleza uzoefu wa mataifa kadhaa barani Afrika yaliyobahatika kuwa na hazina ya utajiri wa rasilimali nyingi zikiwemo mafuta, gesi na madini.

 

9 years ago

Mwananchi

JULIANA SHONZA : Nilihama Chadema baada ya kugundua Natumika vibaya

Ni asubuhi na mapema yapata saa 2.30 hivi nikiwa katika mgahawa katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Msichana mdogo na mrembo mwenye rangi ya chungwa ananishika bega na kunisalimia kwa heshima.

 

9 years ago

MillardAyo

Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti..

Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng’ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam. Baada ya ziara hiyo Waziri Nchemba ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> ‘Machinjio- Vingunguti usiku huu,hatua za awali nakutana na upotevu wa kodi […]

The post Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti.. appeared first...

 

10 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian alimpiga chini French Montana baada ya kugundua anammendea rafiki yake

Khloe Kardashian anadaiwa kuwa aliamua kumpiga chini mpenzi wake French Montana mapema mwezi huu baada ya kugundua kuwa alikuwa akimmendea rafiki yake.. Khloe na Malika Kwa mujibu wa mtandao wa Media Take Out, Khloe aligundua kuwa mpenzi wake alikuwa akitumiana ujumbe wa simu kwa siri na rafiki yake Malika Haqq. French Montana na Malika (kulia) […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha Arsene Wenger akasirika baada ya kugundua Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika Academy ya Arsenal

ArseneWenger_large

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane.

Na Rabi Hume

Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amesema alikasirika kidogo baada ya kugundua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika kituo cha kukuzia vipaji (academy) ya Arsenal na kuhamia academy ya wapinzani wao wakubwa klabu ya Tottenham.

Wenger amezungumzia habari hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Wingereza kesho jumapili...

 

10 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela aliacha viatu vyake TZ?

Zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania na familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu .

 

9 years ago

Bongo5

Baada ya kuolewa Meninah asimama kufanya muziki kwa muda!

Baada ya kuolewa muimbaji wa ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick amesema amesimama kufanya muziki kwa muda. Akizungumza na kipindi cha Friday Night Live cha EATV hivi karibuni, Meninah alisema muda mwingi atautumia kufanya biashara. “Mimi ni Mrs Abdukarim, alikuwa ana support muziki wangu, but mimi kama mimi kwanza nilikuwa engaged nilikubaliana na hiyo hali na ni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani