Baada ya kuolewa Meninah asimama kufanya muziki kwa muda!
Baada ya kuolewa muimbaji wa ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick amesema amesimama kufanya muziki kwa muda. Akizungumza na kipindi cha Friday Night Live cha EATV hivi karibuni, Meninah alisema muda mwingi atautumia kufanya biashara. “Mimi ni Mrs Abdukarim, alikuwa ana support muziki wangu, but mimi kama mimi kwanza nilikuwa engaged nilikubaliana na hiyo hali na ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Baada ya kuzuiliwa kwa muda: Filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka.
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania filamu yangu ya ‘Nimekubali Kuolewa’, itatoka mwezi wa pili mwakani. Kikubwa nilichokifanya ni kurekebisha baadhi...
10 years ago
Bongo519 Jan
Shaa asema 2015 ataendelea kufanya muziki kama ‘Sugua Gaga’ baada ya wimbo huo kumpa mafanikio
11 years ago
GPL
MENINAH: NAOGOPA MAPENZI YATAVURUGA MUZIKI WANGU
11 years ago
Bongo509 Oct
Shughuli za kijamii zamfanya Ray C aweke muziki pembeni kwa muda hadi November
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]
The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...
10 years ago
Michuzi11 Mar
MSIKILIZE DJ CHOKA HAPA NA UNDANI WA NITALALA UZEENI NA MWANAE ALIVYOMFANYA AACHE MUZIKI KWA MUDA

9 years ago
Bongo512 Dec
Kufanya muziki kwa kuzingatia maadili ni kujikosesha fursa – Jux

Muimbaji wa muziki wa R&B aliyewahi kupata dhoruba la kufungiwa kwa video ya wimbo wake ‘Uzuri Wako’ na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwa kigezo cha maadili, ameeleza jinsi kigezo hicho kinavyoathiri wasanii na kushindwa kupiga hatua.
Jux aliyeachia video ya wimbo wake mpya ‘One more Night’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha FNL kinachoruka kupitia EATV kuwa, kama wakiendelea kubanwa na kigezo hicho, wasanii wa Tanzania watashindwa kushindana na wasanii wa kimataifa.
“Unajua muziki wetu...
10 years ago
Bongo Movies15 May
Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya inayokwenda kwa jina la Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen 'JB' wakiwa 'lokesheni'.
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo HAPA
10 years ago
CloudsFM07 Nov
USO WA EMINEM WABADILIKA BAADA YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWA MUDA MREFU.
Staa wa hip hop wa nchini Marekani,Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.