Shaa asema 2015 ataendelea kufanya muziki kama ‘Sugua Gaga’ baada ya wimbo huo kumpa mafanikio
Mwimbaji Shaa amesema kuwa baada ya ‘Sugua Gaga’ kufanikiwa kumtambulisha kimataifa mwaka jana (2014), ana mpango wa kuendelea kufanya nyimbo za aina hiyo mwaka huu. Shaa ambaye video ya Sugua Gaga ilifanikiwa kuwa video ya msanii wa Tanzania iliyotazamwa zaidi mwaka jana kwenye mtandao wa Youtube, amekiri kuwa hakutarajia mafanikio hayo wakati anautoa wimbo huo. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube
10 years ago
Bongo506 Sep
‘Sugua Gaga’ yaipiku ‘Number 1 remix’ kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano
9 years ago
Bongo522 Dec
Mwaka 2016 ni kazi tu – Shaa, aliweka ‘pending’ deal nono la Kenya ili kufanya muziki (Video)
![12345711_718016738342763_71673018_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345711_718016738342763_71673018_n-300x194.jpg)
Shaa ameutangaza mwaka 2016 kuwa ni mwaka wa ‘hapa kazi tu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM kinachoendeshwa na Dina Marious na Swebe Santana, Shaa alisema alilazimika kutolea nje deal nono aliyokuwa aifanye Kenya ili kuutumia mwaka ujao nyumbani na kufanya muziki zaidi.
“Kuna kazi nyingine tena inabidi itoke mwezi wa tatu, na nyingine tena inabidi itoke mwezi wa sita, nyingine tena mwezi wa tisa. Kwahiyo utakuwa ni mwaka ambao nitakuwa niko busy sana. Nataka niutumie kimuziki...
10 years ago
Bongo501 Nov
Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha
9 years ago
Bongo508 Sep
Cliff Mitindo asema angeacha muziki kama haulipi
9 years ago
Bongo506 Nov
Temba adai mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio kwa muziki wa Bongo
![10919100_282718041852156_79790684_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/10919100_282718041852156_79790684_n1-300x194.jpg)
Mheshimiwa Temba amesema mwaka 2015 ni mwaka ambao wasanii wengi wamewekeza zaidi kwenye muziki wao.
Temba ameiambia Bongo5 kuwa anauona mwaka huu kama wa mapinduzi kwenye muziki.
“Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwenye muziki wetu, video nyingi za wasanii wa ndani zimepata airtime kwenye TV kubwa za nje ambapo ni tofauti na miaka iliyopita,” amesema.
“Yaani wasanii wamejaribu ku-invest zaidi kwenye muziki wao. Ukiangalia kama sisi ‘Kaunyaka’ tumeifanyia Afrika Kusini, Chege bado yupo Afrika...
9 years ago
Bongo521 Sep
Baada ya kuolewa Meninah asimama kufanya muziki kwa muda!
9 years ago
Bongo530 Sep
Fid Q asema ataendelea kuimba live band ili kuboresha show za Hip Hop
11 years ago
Bongo505 Aug
Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua