Mwaka 2016 ni kazi tu – Shaa, aliweka ‘pending’ deal nono la Kenya ili kufanya muziki (Video)
Shaa ameutangaza mwaka 2016 kuwa ni mwaka wa ‘hapa kazi tu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM kinachoendeshwa na Dina Marious na Swebe Santana, Shaa alisema alilazimika kutolea nje deal nono aliyokuwa aifanye Kenya ili kuutumia mwaka ujao nyumbani na kufanya muziki zaidi.
“Kuna kazi nyingine tena inabidi itoke mwezi wa tatu, na nyingine tena inabidi itoke mwezi wa sita, nyingine tena mwezi wa tisa. Kwahiyo utakuwa ni mwaka ambao nitakuwa niko busy sana. Nataka niutumie kimuziki...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
10 years ago
Bongo519 Jan
Shaa asema 2015 ataendelea kufanya muziki kama ‘Sugua Gaga’ baada ya wimbo huo kumpa mafanikio
11 years ago
Bongo518 Sep
Mabeste: Nilisimama kufanya muziki ili kuwa karibu na mwanangu
9 years ago
Bongo528 Dec
Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii

Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.
Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.
This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. #OneLagosFiesta for now sha.
— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015
Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...
10 years ago
Bongo513 Oct
Shaa adai ana video 3 alizoshoot nje tangu mwaka jana
10 years ago
Bongo520 Oct
Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube
9 years ago
Bongo504 Jan
Wasanii mwaka 2016 uwe wa kazi na si lawama – Fella

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe pamoja TMK Wanaume Family, Said ‘Mkubwa’ Fella, amewataka wasanii kuutumia mwaka 2016 vizuri kwa kutoa kazi nzuri na kuacha malalamiko yasiyo na tija.
Fella ambaye ametambulisha kundi jipya la muziki liitwalo Salam TMK, alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa mwaka 2016 utakuwa mwaka mwema kama wasanii watautumia vizuri.
“Ninaweza nikawaambia wasanii wajibrand vizuri, lawama ndogo ndogo hazihitajiki tena mwaka 2016,” alisema.
“Kama kuna lawama...
5 years ago
Michuzi
Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.
Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video).
Baada ya kusiogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape hiyo ya December 2015. Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; […]
The post Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video). appeared first on...