Wasanii mwaka 2016 uwe wa kazi na si lawama – Fella
Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe pamoja TMK Wanaume Family, Said ‘Mkubwa’ Fella, amewataka wasanii kuutumia mwaka 2016 vizuri kwa kutoa kazi nzuri na kuacha malalamiko yasiyo na tija.
Fella ambaye ametambulisha kundi jipya la muziki liitwalo Salam TMK, alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa mwaka 2016 utakuwa mwaka mwema kama wasanii watautumia vizuri.
“Ninaweza nikawaambia wasanii wajibrand vizuri, lawama ndogo ndogo hazihitajiki tena mwaka 2016,” alisema.
“Kama kuna lawama...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Jan
MAONI YA MHARIRI: Mwaka 2016 uwe wa kujenga uchumi
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Shoga; mwaka 2016 uwe wa kuboresha penzi lenu!
Asalaam aleykhum! Shoga yangu bila shaka unaelewa kwamba mwaka 2015 uliokuwa na matukio makubwa ya kihistoria duniani na hapa nchini kwetu kufuatia kuwepo uchaguzi mkuu uliomuwezesha Dk. John Pombe Magufuli ‘Mzee wa kutumbua majipu’ kuingia Ikulu ya Magogoni ndo unaishia.
Ni wazi kwamba unatafakari na kufanya tathmini ya mafanikio uliyoyapata katika mwaka huu au namna ambavyo hujafanya kitu chochote cha maendeleo huku ukishuhudia majirani zako wakijenga nyumba, kununua magari, kusomesha...
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
9 years ago
Bongo522 Dec
Mwaka 2016 ni kazi tu – Shaa, aliweka ‘pending’ deal nono la Kenya ili kufanya muziki (Video)
![12345711_718016738342763_71673018_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345711_718016738342763_71673018_n-300x194.jpg)
Shaa ameutangaza mwaka 2016 kuwa ni mwaka wa ‘hapa kazi tu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM kinachoendeshwa na Dina Marious na Swebe Santana, Shaa alisema alilazimika kutolea nje deal nono aliyokuwa aifanye Kenya ili kuutumia mwaka ujao nyumbani na kufanya muziki zaidi.
“Kuna kazi nyingine tena inabidi itoke mwezi wa tatu, na nyingine tena inabidi itoke mwezi wa sita, nyingine tena mwezi wa tisa. Kwahiyo utakuwa ni mwaka ambao nitakuwa niko busy sana. Nataka niutumie kimuziki...
9 years ago
MichuziWASANII WAMUUNGA MKONO SAID FELLA
9 years ago
Bongo515 Oct
Said Fella anasimamia wasanii 102
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHIRIKI KIKAO KAZI CHA UTAYARISHAJI WA MPANGO WA MANUNUZI WA WIZARA WA MWAKA 2015/2016 MJINI MOROGORO
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnkXiu2QJMe6mrqRxsR9SDDHvhKOmGKD-DM4GG5rqlIIOux51*dqht8manUPSXvRxp6SsQwNEbggEYlCHyegHKXI/CELINA.jpg?width=650)
HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016