Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shoga; mwaka 2016 uwe wa kuboresha penzi lenu!

Lovely couple hugging on their bed at home

Asalaam aleykhum! Shoga yangu bila shaka unaelewa kwamba mwaka 2015 uliokuwa na matukio makubwa ya kihistoria duniani na hapa nchini kwetu kufuatia kuwepo uchaguzi mkuu uliomuwezesha Dk. John Pombe Magufuli ‘Mzee wa kutumbua majipu’ kuingia Ikulu ya Magogoni ndo unaishia.

Ni wazi kwamba unatafakari na kufanya tathmini ya mafanikio uliyoyapata katika mwaka huu au namna ambavyo hujafanya kitu chochote cha maendeleo huku ukishuhudia majirani zako wakijenga nyumba, kununua magari, kusomesha...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

MAONI YA MHARIRI: Mwaka 2016 uwe wa kujenga uchumi

Mwaka 2015 ulikuwa wa uchaguzi mkuu. Serikali ilitimiza wajibu wake, na wananchi; vijana kwa wazee, wake kwa waume walitekeleza wajibu wao uchaguzi ukafanyika tena kwa amani na utulivu.

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii mwaka 2016 uwe wa kazi na si lawama – Fella

fella3

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe pamoja TMK Wanaume Family, Said ‘Mkubwa’ Fella, amewataka wasanii kuutumia mwaka 2016 vizuri kwa kutoa kazi nzuri na kuacha malalamiko yasiyo na tija.

fella3

Fella ambaye ametambulisha kundi jipya la muziki liitwalo Salam TMK, alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa mwaka 2016 utakuwa mwaka mwema kama wasanii watautumia vizuri.

“Ninaweza nikawaambia wasanii wajibrand vizuri, lawama ndogo ndogo hazihitajiki tena mwaka 2016,” alisema.

“Kama kuna lawama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbinu za kufufua penzi lenu

Je, Unajua kuwa sikukuu ya wapendanao imewadia ? Jifunze mbinu za kufufua penzi lako usiachwe pekee yako .

 

9 years ago

GPL

SHOGA: MADOIDO MUHIMU KWENYE ENEO LENU LA KUJIDAI!

Shoga yangu, leo nitazu-ngumza nawe mada iliyobebwa na kichwa hicho hapo juu.Bila shaka unaelewa ili kila kitu kiende sawa lazima kiwe na madoido yake, mfano ukitaka usifiwe kwa mapishi matamu lazima uweke viungo mbalimbali kwenye mapishi yako. Ukitaka nyumba yako ipendeze lazima uipambe kwa mapambo mbalimbali, hata ukitaka kuonekana smati lazima ujue namna ya kupangilia mavazi yako. Tukitoka kwenye mambo hayo, tukirejea kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF kuanza mwaka mpya wa 2016 kwa kuboresha huduma zao

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unategemea kuboresha baadhi ya huduma zao ifikapo 2016 ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hizo kwa wananchi.
Akiyasema hayo leo Jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu Michael Mhando amezitaja baadhi ya huduma ambazo wana mpango wa kuziboresha kwa mwaka 2016  zikiwemo za kuongeza huduma ya matibabu ya moyo kwa kutumia bima ya NHIF,kutoa mikopo ya dawa,kurekebisha mfumo wa ulipaji wa baadhi ya huduma pia kubadili...

 

9 years ago

GPL

NI VIDOGO SANA LAKINI VINAWEZA KULINOGESHA PENZI LENU


Mpenzi msomaji wangu, leo nikupe siri kubwa ambayo huifahamu na huenda unatafuta dawa ya kulienzi penzi lako au kulinogesha ili mpenzi wako adumu na wewe.Nikueleze ukweli tu kwamba, hakuna dawa ya mapenzi katika ulimwengu huu, dawa ni wewe mwenyewe hasa ukiamua kufuata misingi ya mapenzi. Inawezekana unajua ila unadharau au hujui kabisa sasa leo nitakuambia dawa yenyewe ni nini.Hivi hujawahi kuona kitu ukikiangalia wewe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa matumaini

RAIS wangu, mwaka 2013 tulisema ulikuwa ni majanga. Mwaka wa 2014 uwe kwetu mwaka wa matumaini. Ah! Mwaka 2013 ulijaa malalamiko ule! Madaktari walilalamika, walimu, wafanyakazi, wakulima na wafugaji wote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa mafanikio ya michezo

WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni, wadau wa michezo wana mengi ya kukumbuka; yawe ya huzuni au furaha kwa ajili ya kujitathmini na kujipanga upya kabla ya kuingia mwaka mpya wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2014 uwe wa waandishi kujirekebisha

Mwaka huu wa 2014, uwe ni mwaka wa kujirekebisha katika uandishi kwani yako matukio mengi ya kihistoria yatakayotokea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani