Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI YA MHARIRI: Mwaka 2016 uwe wa kujenga uchumi

Mwaka 2015 ulikuwa wa uchaguzi mkuu. Serikali ilitimiza wajibu wake, na wananchi; vijana kwa wazee, wake kwa waume walitekeleza wajibu wao uchaguzi ukafanyika tena kwa amani na utulivu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wasanii mwaka 2016 uwe wa kazi na si lawama – Fella

fella3

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe pamoja TMK Wanaume Family, Said ‘Mkubwa’ Fella, amewataka wasanii kuutumia mwaka 2016 vizuri kwa kutoa kazi nzuri na kuacha malalamiko yasiyo na tija.

fella3

Fella ambaye ametambulisha kundi jipya la muziki liitwalo Salam TMK, alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa mwaka 2016 utakuwa mwaka mwema kama wasanii watautumia vizuri.

“Ninaweza nikawaambia wasanii wajibrand vizuri, lawama ndogo ndogo hazihitajiki tena mwaka 2016,” alisema.

“Kama kuna lawama...

 

9 years ago

Global Publishers

Shoga; mwaka 2016 uwe wa kuboresha penzi lenu!

Lovely couple hugging on their bed at home

Asalaam aleykhum! Shoga yangu bila shaka unaelewa kwamba mwaka 2015 uliokuwa na matukio makubwa ya kihistoria duniani na hapa nchini kwetu kufuatia kuwepo uchaguzi mkuu uliomuwezesha Dk. John Pombe Magufuli ‘Mzee wa kutumbua majipu’ kuingia Ikulu ya Magogoni ndo unaishia.

Ni wazi kwamba unatafakari na kufanya tathmini ya mafanikio uliyoyapata katika mwaka huu au namna ambavyo hujafanya kitu chochote cha maendeleo huku ukishuhudia majirani zako wakijenga nyumba, kununua magari, kusomesha...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MAONI YA MHARIRI



Taasisi zilizoagizwa kuwachunguza watuhumiwa wa Escrow zitende haki.....!

"HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameweka hadharani mambo yote kuhusiana na sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji.Akihutubia mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, Rais Kikwete, alimvua uwaziri Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kuhusishwa katika kashfa hiyo na watendaji wengine wakiendelea kuchunguzwa.Pia, aliagiza hatua kadhaa kuchukuliwa ili kuhakikisha serikali inapata halali...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MHARIRI WA JARIDA LA BIASHARA NA UCHUMI LA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mhariri wa Jarida wa Habari za Uchumi, Biashara na Utalii la Trends baada ya kumaliza mazungumzo Nayeli ofisini kwake Brussels leo. Mhariri huyo atatembelea Tanzania kubainisha fursa za Utalii zinazopatikana Kanda ya Kusini Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa matumaini

RAIS wangu, mwaka 2013 tulisema ulikuwa ni majanga. Mwaka wa 2014 uwe kwetu mwaka wa matumaini. Ah! Mwaka 2013 ulijaa malalamiko ule! Madaktari walilalamika, walimu, wafanyakazi, wakulima na wafugaji wote...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2014 uwe wa waandishi kujirekebisha

Mwaka huu wa 2014, uwe ni mwaka wa kujirekebisha katika uandishi kwani yako matukio mengi ya kihistoria yatakayotokea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa mafanikio ya michezo

WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni, wadau wa michezo wana mengi ya kukumbuka; yawe ya huzuni au furaha kwa ajili ya kujitathmini na kujipanga upya kabla ya kuingia mwaka mpya wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunaweza kuufanya mwaka 2014 uwe wa heri

HII ni makala yangu ya kwanza ya Wazo Jepesi kwa mwaka huu. Sikuweza kuandika makala kwa Jumapili zilizotangulia kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wangu. Kwangu basi hii ni makala...

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKA 2030 UWE MWISHO WA TOFAUTI YA USAWA WA KIJINSIA-UN

 Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akiwa na  wajumbe  kutoka Zanzibar  waliohudhuria mkutano wa  59 wa CSW Anna Maembe,  Katibu Mkuu,  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akifuatilia  hitimisho la Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya  Wanawake. Nyuma yake  ni  Mhe. Jaji Angela Kileo Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania wakifuatilia  uhitimishwaji wa  Mkutano wa  59 wa  CSW

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani