Cliff Mitindo asema angeacha muziki kama haulipi
Rapper Cliff Mitindo amesema kama muziki wa Hip Hop ungekuwa haumlipi angekwisha achana nao. Cliff aliyepo kwenye maandalizi ya video ya wimbo wake mpya, ‘Natamani’, ameiambia Bongo5 kuwa anaona muziki wake una nafasi kubwa katika soko la muziki hapa nchini. “Unajua soko la bidhaa kadhaa, kila bidhaa ina watu wake,” amesema. “Kiukweli muziki wa Hip […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Nov
New Video: Cliff Mitindo Ft Ciana — Complicated
10 years ago
Bongo519 Jan
Shaa asema 2015 ataendelea kufanya muziki kama ‘Sugua Gaga’ baada ya wimbo huo kumpa mafanikio
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Picha bora za Afrika wiki hii: Muziki, ukame na mitindo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3szu98EespO9FqPYOJBxqqjTny*USE9*3aws1Z9Q6OZeesEE*PWUbTp7hJoM1mysAqAEoN2hl3HIidEQR5RKF6Eo/Iyanya.jpg?width=650)
IYANYA ASEMA BILA MUZIKI ANGEKUWA MFANYABIASHARA
9 years ago
Habarileo24 Aug
Hakuna kama Dk Magufuli, asema Mkapa
WATANZANIA wameelezwa kuwa katika wagombea wote ambao wameidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mgombea pekee ambaye anafaa kuiongoza Tanzania ni mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.
9 years ago
Bongo503 Sep
Lifahamu jibu la Wakazi kama muziki unamlipa
9 years ago
Bongo521 Dec
Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop
![choki](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/choki-300x194.jpg)
Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.
Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.
“Unajua kitu ambacho...
9 years ago
Bongo511 Dec
Siasa na uchaguzi vimeleta nuksi kwenye muziki, asema rapper huyu
![Cliff Mitindo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/Cliff-Mitindo-300x194.jpg)
Msanii wa muziki wa Hip hop, Cliff Mitindo amesema kampeni za uchaguzi za mwaka huu zimesababisha wasanii wengi kushindwa kufikia malengo waliojiwekea.
Akizungumza na Bongo5 leo, Cliff amesema hali hiyo imesabisha biashara ya muziki kuyumba kutokana na wateja wao wengi ambao ni mashabiki kuwa busy na siasa.
“Mwaka huu kiukweli kutokana na masuala ya kampeni biashara imeyumba. Kwa sababu kitu ambacho kilikuwa kinasikika ni siasa tu, watu walikuwa wana ratiba za kufanya mambo yao lakini...