MSIKILIZE DJ CHOKA HAPA NA UNDANI WA NITALALA UZEENI NA MWANAE ALIVYOMFANYA AACHE MUZIKI KWA MUDA
Wakati tukiisubiri siku ya Ijumaa ya tarehe 13 March 2015 kuusikiliza Wimbo Mpya kutoka kwa DjChoka Alioubariki jina la "NITALALA UZEENI", Basi Tunakupa nafasi ya Kumsikiliza Dj Choka akiuzungumzia Kiundani wimbo huo ambao anaamini Kuwa Mashabiki wake Watauelewa sana haswa Vijana.Akizungumza na DjHaazu wa Mambo Jambo Radio Arusha Kupitia Kipindi cha DUNDO Choka amesema NITALALA UZEENI ni wimbo flani unaoelezea Zaidi jinsi ambavyo Watu wanaHustle kila kukicha na Kula Bata huku wakiamini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo513 Mar
New Music: DJ Choka Ft. Young Lunya, Country Boy, Deddy, Climax Bibo & Bgway – Nitalala Uzeeni
9 years ago
GPL02 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/92KBrfAhanc/default.jpg)
9 years ago
Bongo526 Nov
Afande Sele ashauriwa aache siasa na arudi kwenye muziki
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/02/Afande-Sele-nzuri_full-200x128.jpg)
Baada ya kutangaza kuachana na muziki na kujikita zaidi kwenye kilimo na siasa, watu wa karibu na Afande Sele wamemshauri kutoachana na kitu anachokiweza zaidi – muziki.
Akizungumza na Bongo5 leo, Afande amesema bado anajifikiria kufanya hivyo lakini anapata wakati mgumu kutokana na siasa kumwingia kwenye damu.
“Sasa hivi kuna vitu vinaanza kunipa warning kuona jinsi siasa ilivyo, sasa hivi naenda mahakamani nina matatizo ya kesi lakini simuoni mtu. Kwahiyo ni hali ambayo inanipelekea...
9 years ago
Bongo521 Sep
Baada ya kuolewa Meninah asimama kufanya muziki kwa muda!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhO7kv*IDFuXoizdaSVsptvebY3M1hhWorxf14iSnCc6DOF7t-GpU6RDNfI1C0IN8HqT8Y2tyO7fywDcmoTpnHOc/10327223_703600356344993_1579191149_n.jpg?width=650)
MSIKILIZE MUUMIN AKIZIKOSOA TUZO TATU ZA MUZIKI WA DANSI
10 years ago
Bongo509 Oct
Shughuli za kijamii zamfanya Ray C aweke muziki pembeni kwa muda hadi November
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/u-8Cq3szLXM/default.jpg)
11 years ago
MichuziMBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.