MSIKILIZE MUUMIN AKIZIKOSOA TUZO TATU ZA MUZIKI WA DANSI
![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhO7kv*IDFuXoizdaSVsptvebY3M1hhWorxf14iSnCc6DOF7t-GpU6RDNfI1C0IN8HqT8Y2tyO7fywDcmoTpnHOc/10327223_703600356344993_1579191149_n.jpg?width=650)
Mwimbaji nyota wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumin. MWIMBAJI nyota wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumin amezikosoa tuzo tatu za muziki wa dansi zilizotolewa Jumamosi, Mlimani City katika usiku wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Â Muumin alitoa tathmini yake jana mchana katika ofisi za Saluti5 ambapo alisema hakubaliani na Mashujaa Band kupewa tuzo ya bendi bora ya mwaka, hakubaliani pia na Jose Mara kuwa mwimbaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/NuhxAqRpFvpQr*AhBBntJSlAORgZzhlqjSHK-oSM*xWlSQ9I8U9tRKNIfVwbRBish8r4FwVeKxSiju8lgUy2lkSxO*lPDQ3k/muumini1.jpg?width=492)
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Muziki ni zaidi ya dansi na Starehe -3
11 years ago
Mwananchi17 May
Muziki wa dansi umejinyonga na kamba yake?
11 years ago
Michuzi06 Apr
TBC YAKUTANISHA WADAU WA MUZIKI WA DANSI
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Mchawi muziki wa dansi ni wanamuziki wenyewe
AHLANWASHLAN msomaji wa safu ya Busati. Leo nitazungumzia anguko la muziki wa dansi nchini. Kama wengi tujuavyo, muziki wa dansi hivi sasa umepoteza umaarufu wake kwa wadau huku waangushaji wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqymNL4Ef*toM4vOGB6gIZ4mFPUpx1ZsjMqjiAHZmys6ybRxgsYSQ161ul1E9iwAME2FXG3symYPkK1rPr6UyZJG/1.jpg?width=650)
WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKUTANISHWA NA TBC
10 years ago
Mwananchi06 Jul
KUTOKA LONDON : Muziki ni zaidi ya dansi na na starehe -2
10 years ago
Mwananchi28 Jun
Muziki una faida kuzidi dansi na starehe
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Cheza Kidansi wakutana kujadili muziki wa dansi
WADAU wa muziki wa dansi wanaotokea katika mkusanyiko unaojulikana kama Cheza Kidansi, juzi walifanya kikao cha kwanza na kuazimia mpango wao kuwawezesha wanamuziki wa muziki huo na kuwakwamua kiuchumi. Kikao...