Nay Wa Mitego atoa sababu za kwanini halipishi msanii anayetaka kufanya nae collabo
Kuna baadhi ya wasanii wakubwa wa bongo ambao hulipisha wasanii wadogo wanaowaomba kufanya nao collabo, lakini kwa Nay Wa Mitego mambo yako tofauti. Nay ambaye ameachia video mpya ya ‘Mr Nay’ hivi karibuni, amesema yeye huwa halipishi msanii kwa sababu naye aliwahi kufanyiwa hivyo akiwa anataka kutoka. “Mimi kiukweli kabisa hela nilizonazo zinanitosha, ninazopata zinanitosha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Nov
Nay Wa Mitego aeleza sababu za kwanini hajaitoa collabo yake na Runtown wa Nigeria
![nay true boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nay-true-boy-300x194.jpg)
Kuna kipindi Nay Wa Mitego alitangaza kuwa ana mpango wa kuanza kujitambulisha kwenye soko la kimataifa, kwa kufanya collabo na wasanii wa nje pamoja na kushoot video nje ya Tanzania pia.
Katika mahojiano ya siku za nyuma na Bongo5, Nay alisema tayari amekamilisha collabo na msanii wa Nigeria, Runtown, na alikuwa kwenye mipango ya kutafuta uwezekano wa kufanya kazi na Wizkid an D’Banj.
Wiki hii Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Nyumbani Kwetu’, hata kama hujausikia sina haja ya...
10 years ago
Bongo510 Mar
Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo
9 years ago
Bongo515 Oct
Nay wa Mitego aeleza kwanini hakuweza kutoa filamu ya ‘Salamu Zao’
10 years ago
Bongo510 Feb
Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria
10 years ago
CloudsFM14 Apr
Nay Wa Mitego,Diamond waingia studio kwa mara nyingine kufanya ngoma.
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz hivi karibuni. Akizungumza na Clouds FM, Nay alisema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwenye studio za Free Nation kwa producer Mr.Tee Touch na kwamba jina la ngoma hiyo atalisema siku ambayo atakayoitambulisha ngoma hiyo.
‘’Yaah nimefanya ngoma tena na Diamond Platinumz na nitaitambulisha hivi karibuni kikweli sijisifii ni bonge la ngoma,’’alisema Nay Wa Mitego.
Mastaa hao walishawahi kufanya...
9 years ago
Bongo502 Sep
Lulu atoa sababu kwanini hafungamani na chama cha siasa
9 years ago
Bongo511 Nov
Sio kwamba kila msanii wa nje tutampapatikia kufanya naye collabo — Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Ni karibia saa 24 toka mashabiki wa muziki wa Afrika waishuhudie kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa rapper wa Tanzania Joh Makini ‘Don’t Bother’ ambayo kamshirikisha rapper wa Afrika Kusini AKA iliyotambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Nov.10.
Ni wazi kuwa collabo hiyo itawasaidia Joh Makini na AKA kuongeza mashabiki wapya kutokana na kwamba wote ni wasanii wakubwa kwenye nchi zao na tayari wana fanbase kubwa, lakini Joh Makini pia ametoa maoni yake juu ya mitazamo ya watu...
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao
9 years ago
Bongo519 Nov
Rapper AKA atoa somo kwa wanaodhani collabo ya kimataifa ni mpaka awe msanii wa nje ya Afrika
Wapo baadhi ya wasanii wa Tanzania ambao wameshafanya collabo na wasanii wa nchi za jirani kama Kenya na Uganda, lakini bado huwa wanakutana na maswali ya lini wataanza kufanya collabo za Kimataifa.
Hali hiyo imemkuta pia rapper wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA, ambaye licha ya kufanya kazi na wasanii wa Afrika lakini bado amekuwa akiulizwa na mashabiki ni lini atafanya kazi na msanii wa ‘KIMATAIFA’.
Kinachoonekana ni kwamba tafsiri ya mashabiki wengi kuhusu...