Nay Wa Mitego aeleza sababu za kwanini hajaitoa collabo yake na Runtown wa Nigeria
Kuna kipindi Nay Wa Mitego alitangaza kuwa ana mpango wa kuanza kujitambulisha kwenye soko la kimataifa, kwa kufanya collabo na wasanii wa nje pamoja na kushoot video nje ya Tanzania pia.
Katika mahojiano ya siku za nyuma na Bongo5, Nay alisema tayari amekamilisha collabo na msanii wa Nigeria, Runtown, na alikuwa kwenye mipango ya kutafuta uwezekano wa kufanya kazi na Wizkid an D’Banj.
Wiki hii Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Nyumbani Kwetu’, hata kama hujausikia sina haja ya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Sep
Nay Wa Mitego atoa sababu za kwanini halipishi msanii anayetaka kufanya nae collabo
9 years ago
Bongo515 Oct
Nay wa Mitego aeleza kwanini hakuweza kutoa filamu ya ‘Salamu Zao’
10 years ago
Bongo510 Jul
Eddy Kenzo aeleza sababu za kwanini BET walimkabidhi tuzo yake kwenye Red Carpert
10 years ago
Bongo510 Mar
Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao
10 years ago
Bongo510 Feb
Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria
9 years ago
Bongo512 Nov
Runtown wa Nigeria amshirikisha Dj Khaled kwenye Album yake mpya
![runtown n dj khaled](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/runtown-n-dj-khaled-300x194.jpg)
Mwimbaji wa ‘Gallardo’, Runtown kutoka Nigeria ameingia kwenye orodha ya wasanii wa nchi hiyo waliofanikiwa kufanya kazi na masataa wa Marekani.
Runtown ambaye hivi karibuni alikuja nchini kwenye finali za Bongo Star Search, na ambaye ameshafanya kazi na baadhi ya wasanii wa Tanzania akiwemo Chege, amemshirikisha Dj maarufu wa Marekani, DJ Khaled ambaye pia ni producer kwenye album yake mpya ‘Ghetto University’ itakayotoka Nov.23.
Runtown ameshare cover pamoja na orodha ya nyimbo za album...
9 years ago
Bongo520 Dec
Nisher aeleza kwanini ameamua kuweka wazi mahusiano yake (Picha)
![moz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/moz-300x194.jpg)
Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.
Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua.
“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” ameiambia Bongo5.
“Ndoa inakuja, ila hamna haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”
9 years ago
Bongo506 Nov
Muigizaji wa Nollywood aeleza kwanini ndoa yake imevunjika na funzo kwetu sisi
![Ini-Edo1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ini-Edo1-300x194.jpg)
Muigizaji wa Nollywood, Ini Edo ameamua kueleza runinga nchini humo sababu za kuvunjika kwa ndoa yake ya miaka mitano na Phillip Ehiagwina wa Marekani.
Muigizaji huyo asiyependa mambo yake yaongelewe sana kwenye mitandao na vyombo vya habari, aliweza kuelezea kwa uwazi mambo anayodhani yalisababisha ndoa yake ya miaka mitano kuvunjika.
Ndoa yake ambayo anasema kwa kiasi kikubwa iliathiriwa na umbali kwakuwa mumewe alikuwa Marekani yeye yupo Naijeria hivyo ukiondoa matatizo waliyokuwa nayo...