Runtown wa Nigeria amshirikisha Dj Khaled kwenye Album yake mpya
Mwimbaji wa ‘Gallardo’, Runtown kutoka Nigeria ameingia kwenye orodha ya wasanii wa nchi hiyo waliofanikiwa kufanya kazi na masataa wa Marekani.
Runtown ambaye hivi karibuni alikuja nchini kwenye finali za Bongo Star Search, na ambaye ameshafanya kazi na baadhi ya wasanii wa Tanzania akiwemo Chege, amemshirikisha Dj maarufu wa Marekani, DJ Khaled ambaye pia ni producer kwenye album yake mpya ‘Ghetto University’ itakayotoka Nov.23.
Runtown ameshare cover pamoja na orodha ya nyimbo za album...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Oct
Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’
10 years ago
Bongo530 Oct
Rapper M.I wa Nigeria awashirikisha wasanii 27 kwenye album mpya
9 years ago
Bongo514 Nov
Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake
![K.O](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/K.O-300x194.jpg)
Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.
K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.
Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.
Ding Dong | tayotv Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
9 years ago
Bongo529 Oct
Justin Bieber atoa orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ‘Purpose’
11 years ago
Bongo520 Jul
Eid 2: TID kumdondosha Naziz kwenye ‘listening party’ ya album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
11 years ago
Bongo503 Aug
Album mpya ya 2face ‘The Ascension’ yaingia kwenye orodha ya Billboard ya album zinazouza zaidi duniani
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown
![Vee na Run](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Vee-na-Run-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...