Nisher aeleza kwanini ameamua kuweka wazi mahusiano yake (Picha)
Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.
Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua.
“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” ameiambia Bongo5.
“Ndoa inakuja, ila hamna haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Aug
Batuli aeleza kwanini mahusiano kati ya mastaa wa Bongo hayadumu
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Uwoya hapendi kuweka wazi mambo yake
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za nchini, Irene Uwoya, amefunguka na kusema hapendi kuweka wazi mambo yake binafsi kama ilivyo wasanii wengine.
Msanii huyo alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wanapenda kuweka kila kitu chake ambapo haina maana yoyote kwa jamii.
Akizungumza na MTANZANIA, msanii huyo alisema anapendelea kufanya mambo yake kwa siri na sio kuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.
“Ukweli ni kwamba, sipendi kuweka...
9 years ago
MichuziNATHAN MPANGALA ‘KIJASTI’ KUWEKA WAZI MAISHA YAKE YA UCHORAJI VIBONZO KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-NaYDu3ECIZ8/VgyyW6v4q7I/AAAAAAAH7-k/ZC6z7eOY4HE/s640/2-October-Hangout-At-Nafasi-Nathan-and--Diana-Swahili.jpg)
MCHORAJI wa vibonzo maarufu nchini Tanzania, Nathan Mpangala, ameandaa mazungumzo ya wazi yatakayofanyika katika Viwanja vya Nafasi Art Space, Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, kesho (Ijumaa) ambapo atazungumzia maisha aliyopitia katika vyombo mbalimbali vya habari akiwa kama mchoraji vibonzo.
Ili kunogesha tukio hilo, nao wahudhuriaji watapata nafasi ya kuuliza maswali au kutoa maoni yao juu ya mambo mbalimbali...
9 years ago
Bongo506 Nov
Muigizaji wa Nollywood aeleza kwanini ndoa yake imevunjika na funzo kwetu sisi
![Ini-Edo1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ini-Edo1-300x194.jpg)
Muigizaji wa Nollywood, Ini Edo ameamua kueleza runinga nchini humo sababu za kuvunjika kwa ndoa yake ya miaka mitano na Phillip Ehiagwina wa Marekani.
Muigizaji huyo asiyependa mambo yake yaongelewe sana kwenye mitandao na vyombo vya habari, aliweza kuelezea kwa uwazi mambo anayodhani yalisababisha ndoa yake ya miaka mitano kuvunjika.
Ndoa yake ambayo anasema kwa kiasi kikubwa iliathiriwa na umbali kwakuwa mumewe alikuwa Marekani yeye yupo Naijeria hivyo ukiondoa matatizo waliyokuwa nayo...
9 years ago
Bongo520 Nov
Nay Wa Mitego aeleza sababu za kwanini hajaitoa collabo yake na Runtown wa Nigeria
![nay true boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nay-true-boy-300x194.jpg)
Kuna kipindi Nay Wa Mitego alitangaza kuwa ana mpango wa kuanza kujitambulisha kwenye soko la kimataifa, kwa kufanya collabo na wasanii wa nje pamoja na kushoot video nje ya Tanzania pia.
Katika mahojiano ya siku za nyuma na Bongo5, Nay alisema tayari amekamilisha collabo na msanii wa Nigeria, Runtown, na alikuwa kwenye mipango ya kutafuta uwezekano wa kufanya kazi na Wizkid an D’Banj.
Wiki hii Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Nyumbani Kwetu’, hata kama hujausikia sina haja ya...
10 years ago
Bongo510 Jul
Eddy Kenzo aeleza sababu za kwanini BET walimkabidhi tuzo yake kwenye Red Carpert
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo
10 years ago
Bongo525 Aug
Jaguar aweka wazi ukweli wa picha za ‘harusi’ yake zilizowashtua wengi
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Guardiola kuweka wazi hatima