Uwoya hapendi kuweka wazi mambo yake
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za nchini, Irene Uwoya, amefunguka na kusema hapendi kuweka wazi mambo yake binafsi kama ilivyo wasanii wengine.
Msanii huyo alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wanapenda kuweka kila kitu chake ambapo haina maana yoyote kwa jamii.
Akizungumza na MTANZANIA, msanii huyo alisema anapendelea kufanya mambo yake kwa siri na sio kuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.
“Ukweli ni kwamba, sipendi kuweka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Dec
Nisher aeleza kwanini ameamua kuweka wazi mahusiano yake (Picha)
Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.
Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua.
“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” ameiambia Bongo5.
“Ndoa inakuja, ila hamna haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
9 years ago
MichuziNATHAN MPANGALA ‘KIJASTI’ KUWEKA WAZI MAISHA YAKE YA UCHORAJI VIBONZO KESHO
MCHORAJI wa vibonzo maarufu nchini Tanzania, Nathan Mpangala, ameandaa mazungumzo ya wazi yatakayofanyika katika Viwanja vya Nafasi Art Space, Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, kesho (Ijumaa) ambapo atazungumzia maisha aliyopitia katika vyombo mbalimbali vya habari akiwa kama mchoraji vibonzo.
Ili kunogesha tukio hilo, nao wahudhuriaji watapata nafasi ya kuuliza maswali au kutoa maoni yao juu ya mambo mbalimbali...
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Guardiola kuweka wazi hatima
9 years ago
Habarileo09 Oct
Taasisi zatakiwa kuweka wazi takwimu
SERIKALI imezitaka taasisi na idara zake kuweka wazi takwimu mbalimbali ili kutoa fursa kwa wananchi kufahamu ahadi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Oct
WATANZANIA: Tunaiomba UKAWA Kususia Uchaguzi Iwapo NEC na ZEC itashindwa Kuweka Wazi Daftari la Wapiga Kura.
Nategemea habari hizi zitawafika Wahusika wakuu wa Vyama vya Vinavounda UKAWA.. Kama sisi no Wazalendo ambao Tuna kiu ya Mabadiliko ya Uongozi katika Serikali. Mara hii tumejitokeza Vijana wengi kutafuta Vichinjio ya Kuiondoa Serikali ya CCM […]
The post WATANZANIA: Tunaiomba UKAWA Kususia Uchaguzi Iwapo NEC na ZEC itashindwa Kuweka Wazi Daftari la Wapiga Kura. appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Uhuru NewspaperDk. Mwakyembe kuweka mambo hadharani leo
Na mwandishi wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ameahidi kuwataja hadharani baadhi ya watumishi na watendaji wanaofanya vitendo vya uhalifu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Awali, Dk. Mwakyembe, alikuwa akutane na waandishi wa habari ofisini kwake jana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya kuitwa Ikulu kwa majukumu mengine ya kikazi.
Hatua ya kuwekwa hadharani mtandao huo hatari unaohusisha watumishi wa idara mbalimbali, inafuatia agizo lake alilitoa...
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
“Ninamkubali Uwoya kwa Sanaa Yake”
SOPHIA Mohamed mwigizaji wa kike kutoka Bongo Movie anafunguka kuwa anamkubali sana mwigizaji wa kike Irene Uwoya kwa uigizaji wake siyo kwa sababu anafananishwa naye katika muonekano na uigizaji wake, na anafurahia kufanishwa na msanii mwigizaji mahiri na mwenye uwezo.
“Namkubali sana Irene Uwoya siyo kwa sababu nafananishwa naye hapana bali namkubali sana Irene Uwoya kwa ajili ya uigizaji wake katika kuvaa uhalisia na ndio nafananishwa naye nikiigiza wengi wanaona kama Irene inatia...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Uwoya Kuyaanika Maisha Yake Hivi Karibuni
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi.
Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi.
“Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na...