Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwoya Kuyaanika Maisha Yake Hivi Karibuni

Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi.

Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi.

“Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya: Nitayaanika maisha yangu hivi karibuni

iRENE uWOYANa Rhobi Chacha
MWIGIZAJI Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi.
Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi.
“Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kama Alivyosema, Irene Uwoya Ameanza Hivi Kuyanika Maisha Yake

Kutoka kwenye ukursa wake mtandaoni,staa mrembo Irene Uwoya ameanza hivi;

Naitwa Irene pankras uwoya...ni mtoto wakwanza katika familia ya mzeee uwoya yenye watoto 2 na mdogo wangu wakuite aitwae babu!!!nimezaliwa dodoma hospital nimeishi dodoma nikasoma shule ya msimgi mlimwa la kwanza mpaka la tatu...Wazaz wangu wakaa mishiwa Dar kikazI mama yangu akiwa ofisi ya waziri mkuu huku baba yangu akiwa pilot na pia ofisi ya nishat na madini nikaamia shule ya msingi bunge na kumaliza la...

 

10 years ago

GPL

PART II YA SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE; AMCHANA MDOGO WAKE AITWAYE ROTIMI, KUTOKA PART III HIVI KARIBUNI

Emmanuel Adebayor akiwa na mdogo wake Rotimi Adebayor. KAMA alivyoahidi, staa wa Klabu ya Tottenham ya England ambaye ni raia wa Togo, Emmanuel Adebayor jana ameachia sehemu ya pili inayohusu sakata lake na familia yake. Katika sehemu hii, Adebayor amemuelezea kaka yake aitwaye Rotimi. Na hivi ndivyo alivyomwaga ubuyu kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo ameahidi pia kutoa sehemu nyingine ya tatu hivi karibuni: Hii ni...

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE SIRUDI BONGO HIVI KARIBUNI!

Stori: Imelda Mtema
MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana. Staa wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu vyake vinamuendea sawa...

 

10 years ago

GPL

TONTO DIKEH KUOLEWA HIVI KARIBUNI

Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh, 29, amevunja ukimya baada ya kusema ataolewa hivi karibuni na mchumba wake, Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X ambaye ni mfanyabiashara. Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh akiwa na mpenzi wake Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X.
Hata hivyo, inadaiwa kuwa tayari mume huyo mtarajiwa… ...

 

10 years ago

Michuzi

Kampeni ya #KuraDili2015 kuaza hivi karibuni

 Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya sambamba na wadau katika tasnia hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bi. Rose Malo na Adam Anthony mwakilishi toka OSIEA (walioketi) mara baada ya warsha fupi kwa wasanii hao juu ya umuhimu wa Sanaa ya muziki katika kuhamasisha Wananchi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura, kupitia Kampeni yake ya #KuraDili2015. Kampeni hiyo itawawezesha wasanii hao kutunga Wimbo Maalum wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani