TONTO DIKEH KUOLEWA HIVI KARIBUNI
Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh. Lagos, Nigeria STAA wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh, 29, amevunja ukimya baada ya kusema ataolewa hivi karibuni na mchumba wake, Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X ambaye ni mfanyabiashara. Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh akiwa na mpenzi wake Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X. Hata hivyo, inadaiwa kuwa tayari mume huyo mtarajiwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM
10 years ago
GPLINASEMEKANA TONTO DIKEH AOLEWA NA TAYARI NI MJAMZITO
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
10 years ago
GPLTONTO DIKEH AWANANGA MAADUI, AWATIA MOYO MASHABIKI WAKE
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
GPLMASOGANGE SIRUDI BONGO HIVI KARIBUNI!
10 years ago
MichuziKampeni ya #KuraDili2015 kuaza hivi karibuni
10 years ago
CloudsFM22 Dec
NUH MZIWANDA KUMUOA SHILOLE HIVI KARIBUNI
Baada ya kumvisha pete mchumba wake Shilole siku ya birthday yake,msanii Nuh Mziwanda amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa atamuoa mchumba wake huyo.''Kumvisha pete mchumba wangu ni hatua kubwa na mama yangu alianiambia nikimvisha pete mchumba wangu nisikae muda mrefu na nifunge naye ndoa kwahiyo nafuata ushauri wa mama na nitamuoa Shishi muda si mrefu,''alisema Nuh Mziwanda.
9 years ago
MichuziRELI YA KATI KUANZA KARABATIWA HIVI KARIBUNI
Na JenikisaNdile –MaelezoSERIKALI kwa kushirikiana na kampuni ya reli Asset holding imejizatiti kuimarisha...