TONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM
![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSklaMOpwvq8GS6JQ12PgnToYN21Zy34zKlmUR4HiCrCrighpg6pQxexu1kmSx9J2g*INVhIJLXuGBCiAgekiBux/TontoDikeh.jpg?width=650)
Muigizaji kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh. Lagos ,NIgeria MUIGIZAJI kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh ameolewa rasmi na aliyekuwa mpenzi wake, Churchill Olakunle Oladunni wiki iliyopita.Tarifa za kuolewa zilianza kuzagaa mapema wiki iliyopita baada ya staa huyo kubadili jina lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kujiita, Mrs Tonto Wigo Dikeh-Churchill. Lakini wikiendi iliyopita zilizagaa picha mitandaoni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AxBvQ5w4N5Us6BzMjE75-y9BuhO6DT-rjumQOn2beLFLP7jr6sEWtoVagsKWOROWgTPs3da6eZcyNnL5gPhg3L2/tonot6666666.gif)
INASEMEKANA TONTO DIKEH AOLEWA NA TAYARI NI MJAMZITO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwoOxdohUuXXkHVhuJHDpXO9BJOu07wiST1nS7ncl8NJG1-WQ7*XnASDa7yLy0P0eBYnDvUnmj1dGeg6Axnuw-Fw/tono.jpg?width=650)
TONTO DIKEH KUOLEWA HIVI KARIBUNI
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1YJZCgIUF2PFyXZnQJOYJe*IExjynRmF4n1EGLl1fAT-K6QJU66OjQH4L88rqONHtMSrqcZk57VhQ571oRDehaF/TontoDikehGlitzMagazine2013IssueBellaNaija02.jpg?width=650)
TONTO DIKEH AWANANGA MAADUI, AWATIA MOYO MASHABIKI WAKE
9 years ago
Habarileo04 Sep
Mgombea abadili jina
MGOMBEA ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chadema, Shadrack Mmalila ametangaza rasmi kuwa ameapa mahakamani kubadili jina ambapo sasa ataitwa Ikuwo Shadrack Mmalila.
10 years ago
Bongo524 Apr
Frank Ocean abadili jina lake kisheria
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wUbYkNQKGTF1heMq00nNyAOSdGjQhXfJ6DTiTMCMV6nJKl99u62vrGjcr1fFnFBDu70Qtt6T0OYPPi2P7dNfivp/amini.jpg?width=650)
AMINI AANIKA SIRI NDOA YA FASTA, ABADILI JINA
9 years ago
Bongo505 Sep
Instagram yaboresha huduma yake ya ‘Instagram Direct’
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6hMvPJ2SPmHh8INCOXzmlmrYzm-bucm89lJt3EPR27JaxcrRJs8-G40eirWG7spUqmC-J1LLruQ2pY7DrEImrkY/IMG_9926.gif)
TONTO AVALISHWA PETE YA MILIONI 20