Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Instagram yaboresha huduma yake ya ‘Instagram Direct’

Habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa kushare picha wa Instagram ni kuwa, huduma ya ‘Instagram Direct’ sasa imeboreshwa zaidi. Instagram Direct ni huduma inayowawezesha watumiaji kuweza kutumiana picha, video na ujumbe binafsi kwa mtu mmoja, au kundi la watu atakaowachagua mwenyewe bila mtu mwingine kuona. Hivi sasa kuna ki mshale kimeongezwa pembeni mwa icon […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Jakarta Post

Instagram direct messages now available for desktop users - The Jakarta Post

Instagram direct messages now available for desktop users - The Jakarta Post  Jakarta PostInstagram Finally Brings Messaging Ability to Desktop  FstoppersHow to Access Your Instagram DMs On The Web  LifehackerInstagram Launches Web-Based DMs for All Users  PetaPixelYou can now get at your Instagram DMs on the web  TechRadarView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Bongo5

Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram

Ray new

Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.

Ray new

Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.

“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.

Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...

 

10 years ago

GPL

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE INSTAGRAM

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ . MUIGIZAJI wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake. Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo...

 

10 years ago

GPL

POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabiki. Zari. Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai...

 

10 years ago

Vijimambo

POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA JAMBO INSTAGRAM

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki.Zari.
Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi...

 

9 years ago

Bongo5

#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake

Cassper n AKAUshindani baina ya rappers wa Afrika Kusini AKA na Cassper Nyovest sasa umehamia kwa mashabiki wao. Baada ya Cassper kuweka historia mpya Jumamosi iliyopita kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome peke yake wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 mashabiki wake wamemkejeli mpinzani wake AKA kwenye mitandao ya kijamii. […]

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani