Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TONTO DIKEH AWANANGA MAADUI, AWATIA MOYO MASHABIKI WAKE

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria Tonto Dikeh.
TONTO DIKEH, mwigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria, ambaye ni ‘mcharuko’ na ambaye alidaiwa kumchukua mume wa mtu hivi karibuni, hivi sasa amekuwa kama mhamasishaji ambapo anatoa ujumbe mbalimbali wa kuwatia matumaini mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram. Tonto ambaye ni mzaliwa wa Jimbo la River na aliyepata umaarufu zaidi kwa kuigiza filamu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TONTO DIKEH KUOLEWA HIVI KARIBUNI

Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh, 29, amevunja ukimya baada ya kusema ataolewa hivi karibuni na mchumba wake, Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X ambaye ni mfanyabiashara. Staa wa filamu za Kinigeria, Tonto Dikeh akiwa na mpenzi wake Churchill Olakunke Oladunni a.k.a Mr. X.
Hata hivyo, inadaiwa kuwa tayari mume huyo mtarajiwa… ...

 

10 years ago

GPL

INASEMEKANA TONTO DIKEH AOLEWA NA TAYARI NI MJAMZITO

Nyota wa filamu wa Nollywood, Nigeria, Tonto Dikeh. Lagos, Nigeria MIEZI kadhaa iliyopita, nyota wa filamu wa Nollywood, Nigeria, Tonto Dikeh, alithibitisha kwamba alikuwa karibu kuolewa, jambo ambalo alilitoa hadharani muda mfupi baada ya uhusiano wake na Churchill Oladunni maarufu kama Mr. X kuvurugika. Picha aliyoweka kwenye akaunti yake ya Instagram. Katika kuimarisha kauli yake, mwigizaji huyo ambaye pia ni mwimbaji,...

 

10 years ago

GPL

TONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM

Muigizaji kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh. Lagos ,NIgeria
MUIGIZAJI kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh ameolewa rasmi na aliyekuwa mpenzi wake, Churchill Olakunle Oladunni wiki iliyopita.Tarifa za kuolewa zilianza kuzagaa mapema wiki iliyopita baada ya staa huyo kubadili jina lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kujiita, Mrs Tonto Wigo Dikeh-Churchill. Lakini wikiendi iliyopita zilizagaa picha mitandaoni...

 

9 years ago

Global Publishers

Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi

Prado-2016-4

Toyota Prado

MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.

Prado-2016-5Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.

“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maliki awatia shime makamanda wake

Rais Maliki wa Iraq afika mpaka wa mapigano kuwapa moyo na kuwatia shime makamanda wake wa jeshi mjini Samarra

 

11 years ago

Tanzania Daima

CADO BARO: Kwa wizi Your Number One Remix imeniongezea mashabiki, maadui

BETI Mhhh! za mwizi arobaini kwako zimeshatimiaaa, walinenaga zamaniii… Pili umeiba sana watu wameshakuchoka kwa voko voko fulaniii eeh! (Tatu huo wizi wako naomba uacheee…,kwani unashusha adhi ya jina jamaniii)...

 

9 years ago

Bongo5

Amini awatoa wasiwasi mashabiki wake juu ya ukimya wake

Amini

Amini amewaondoa wasiwasi mashabiki wake kuhusu ukimya wake na kudai kuwa mpaka sasa ana nyimbo tano tayari kwaajili ya mashabiki wake.

amini

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo ya EA Radio kuwa alikuwa kimya ili ahakikishe ana nyimbo zake tano mkononi.

“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia nyimbo,” amesema. “Kwa sababu nataka kuandaa vitu vizuri ambavyo vikitoka vitafanya vizuri kwa sababu naweza kuchelewa na nikatoa nyimbo na ikafanya vizuri tu. Sina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Atafuna Moyo wa adui wake A.Kusini

Mwanamume mmoja amekamatwa kwa mauaji ya mwanamume mwingine aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake za zamani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani