Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Frank Ocean abadili jina lake kisheria

Frank Ocean amelifanya jina hilo kuwa lake kisheria. Kwa mujibu wa TMZ, Ocean amebadili jina lake kutoka Christopher Edwin Breaux ambalo ndilo alilozaliwa nalo na sasa atajulikana kwa jina la muziki, Frank Ocean. Ocean alikuwa abadili jina lake tangu mwaka jana lakini jaji wa Los Angeles alichelewesha mchakato hadi pale aliposhughulikia kusitishwa kwa leseni yake […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mgombea abadili jina

MGOMBEA ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chadema, Shadrack Mmalila ametangaza rasmi kuwa ameapa mahakamani kubadili jina ambapo sasa ataitwa Ikuwo Shadrack Mmalila.

 

10 years ago

GPL

TONTO DIKEH AOLEWA, ABADILI JINA INSTAGRAM

Muigizaji kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh. Lagos ,NIgeria
MUIGIZAJI kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh ameolewa rasmi na aliyekuwa mpenzi wake, Churchill Olakunle Oladunni wiki iliyopita.Tarifa za kuolewa zilianza kuzagaa mapema wiki iliyopita baada ya staa huyo kubadili jina lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kujiita, Mrs Tonto Wigo Dikeh-Churchill. Lakini wikiendi iliyopita zilizagaa picha mitandaoni...

 

11 years ago

GPL

AMINI AANIKA SIRI NDOA YA FASTA, ABADILI JINA

Stori: Musa Mateja
Mwanamuziki zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Amini Mwinyimkuu amefunguka kuwa, aliamua kufunga ndoa ya fasta ili kuuwahi mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwanamuziki zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Amini Mwinyimkuu. Akizungumza na Ijumaa  hivi karibuni, Amini ambaye amemuoa binti aitwaye  Farida Bashiri alisema ilikuwa vigumu kufanya sherehe kubwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais akataa jina lake kutumiwa

Rais wa Korea kazkazini awataka wananchi wake kutotumia jina lake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Aslay alikataa jina lake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, amesema kutokana na umri wake kusogea, angependa kuitwa Aslay. Aslay anayetamba na wimbo wa ‘Ya Moto’ ambao umeimbwa na...

 

11 years ago

GPL

LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE FACEBOOK

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’. Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake za mitandao ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa marehemu Steven Kanumba kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza. Kupitia Instagram, Lulu amesema:
“Dah sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba...

 

5 years ago

Bongo5

Galaxy adai jina lake lilimgombanisha na familia yake

Kila msanii anaweza akawa na stori kubwa kupitia jina lake analolitumia kwenye sanaa – Lakini kwa Galaxy jina hilo huwa linamtoa machozi kwa kukumbuka jinsi ilivyosambaratisha.

Muimbaji huyo wa Top In My Heart, ameiambia Bongo5 kuwa alipewa jina hilo na baba yake mzazi, ambaye alitengana na mama yake baada ya na baadaye alilazimishwa kubadili jina hilo.

“Jina la Galaxy nilipewa na baba yangu mzazi ambaye alilipenda jina hilo kutokana na rafiki yake aliyeishi Uingereza kutumia jina hilo....

 

9 years ago

BBCSwahili

Phuc Dat Bich akiri kufanya mzaha kuhusu jina lake

Raia mmoja wa Australia anayejiita Phuc Dat Bich,aliyegonga vichwa vya habari duniani baada ya kusema kwamba alikuwa akitaka kutumia jina lake sahihi katika mtandao wa facebook amekiri kwamba ilikuwa mzaha.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MAZINGIRA AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE‏

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira, Dkt Binilith Mahenge. Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii mtandao huo.  Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani