Dogo Aslay alikataa jina lake
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, amesema kutokana na umri wake kusogea, angependa kuitwa Aslay. Aslay anayetamba na wimbo wa ‘Ya Moto’ ambao umeimbwa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Mama wa Dogo Aslay azikwa Dar
NA MELCKZEDECK SIMON
MSANII kiongozi wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ jana alijumuika na wadau mbalimbali wa sanaa kumzika mama yake mzazi, Moza Mohammed aliyefariki juzi hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Mama wa msanii huyo alifariki jana asubuhi katika Hospitali ya Temeke, alipokuwa amelazwa.
Wadau mbali mbali wa muziki walimpa pole msanii huyo kutokana na kuondokewa na mama yake kipenzi ambaye alimtimizia kumjengea nyumba kutokana na kipato chake cha...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Dogo Aslay aja na ‘Wacha Waseme’
KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, anatarajiwa kuachia kibao kipya kinachojulikana kwa jina la ‘Wacha Waseme’ hivi karibuni. Dogo Aslay anayetamba na wimbo wake mpya...
9 years ago
AllAfrica.Com14 Sep
Bongo Star Dogo Aslay Loses Mum
AllAfrica.com
Aslay lost his mother, Moza Mohamed, at Temeke hospital in Dar es Salaam, where she succumbed to high blood pressure. She was laid to rest yesterday. Several Tanzanian artistes and promoters including Diamond Platnumz, managers Babu Tale, ...
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Dogo Aslay: Nitakupwelepweta Hajaimbiwa Wema Sepetu
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi, Aslay alifunguka hayo alipokuwa akichat Live katika kipengele cha Kikaangoni Livekupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Aslay alisema kuwa moja ya sababu iliyomfanya kumuweka wazi mpenzi wake huyo ni kutaka kutoa ujumbe kwa wale ambao wanamsumbua kuwa waache kufanya hivyo kwani tayari ana mtu ambae yeye...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Malkia Kopa, Dogo Aslay wapagawisha Bibi Bomba
MSANII kinda wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Aslay na Malikia wa Mipasho duniani, Khadija Kopa ‘Top In Town’ juzi walipagawisha katika hafla ya shindano la Bibi Bomba iliyofanyika ukumbi...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Dogo Aslay: Sijutii matokeo kidato cha nne
BAADA ya kupata matokeo mabaya kidato cha nne, kinda wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’ amesema anatarajia kusoma chuo cha muziki ili kukuza kipaji chake. Akizungumzia...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/PhotoGrid_1416578914975.jpg)
TANZIA: MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK4cokKbSHu2G2TFxgKqJDI-9FYICOWu235BZKKXREcJ4iyl8FYFSiYrzASrfC9CDBPncTjOhujP6dFTbUjSEzUy/dogojan.jpg?width=650)
DOGO JANJA, ASLAY WAVUNJA UCHUMBA WA MTU MTWARA
10 years ago
CloudsFM31 Mar
Dogo Aslay:Mkubwa Fella ndiye mtunzi wa ngoma ya ‘nitakupwelepweta’
Mkali kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya ‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said Fella’’Mkubwa Fella’’.
Alisema kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri...