WAZIRI WA MAZINGIRA AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE
![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TGtSAOHXUOq0yabQxhCqFiKRwUC-tCACTaAQwaLLESsb7XCHY-622lcPSlioVaR3zck7K2wXKoDd7DinXxU1nD9/ImageProxy.mvc.jpg?width=650)
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira, Dkt Binilith Mahenge. Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii mtandao huo. Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi11 Jul
WAZIRI WA MAZINGIRA DKT. BINILITH MAHENGE AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE
![](https://2.bp.blogspot.com/-WpJlmrrMxCY/U78KSBrig1I/AAAAAAAAODY/VIS6zd27flI/s1600/DK+BINILITH.jpg)
Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema kumekuwa na baadhi ya watu wanaoitumia mitandao hiyo vibaya kwa kufungua akaunti yenye jina lake ilihali yeye hajawahi kujiunga na facebook na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0*MSulWnb28nT0WdaiFZjITBOe6hGgJxugDtn2QGcEOI6J-Nk7OohxqEDUJCXT3yAV7B7oFylm3ZgQjih4D2ny/AMVCATrophy1.jpg)
LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE FACEBOOK
5 years ago
BBCSwahili27 May
Idris Sultan ashitakiwa kwa kutumia namba ya simu isiyosajiliwa kwa jina lake
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC02082.jpg)
SEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-A7xxFgzL_7o/UzwqDtYJpKI/AAAAAAAAMBg/Wn9yl9jtFUk/s1600/MAN2.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE
STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?
Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...
Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu...
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Dogo Aslay alikataa jina lake
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, amesema kutokana na umri wake kusogea, angependa kuitwa Aslay. Aslay anayetamba na wimbo wa ‘Ya Moto’ ambao umeimbwa na...