Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA‏

Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya wilaya ya Iramba. Kulia mwenye miwani ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda. Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Yahaya Nawanda, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa siku ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA

DSC02082Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya wilaya ya Iramba. Kulia mwenye miwani ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda.
Na Nathaniel Limu, IrambaSHIRIKA lisilo la kiserikali la Sustainable Environment Management Action (SEMA),linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 396 milioni kugharamia utekelezaji wa mradi wa usafi mashuleni na...

 

10 years ago

Dewji Blog

SEMA yatumia shilingi milioni 380 kusambaza Maji Iramba

DSC00692

Mtendaji mkuu wa shirika la MEDICOR la nchini Uingereza, Fortunat Walther (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya ujenzi wa visima vya maji kwa meneja wa SEMA, Ivo Manyaku, wakati Walther alipotembelea miradi hiyo inayofadhiliwa na shirika lake.

Na Nathaniel Limu,  Iramba

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali Linaloboresha na Kusimamia Mazingira ili kuleta Maendeleo Endelevu (SEMA) la mjini Singida limetumia zaidi ya sh milioni 380 kwa ajili ya utekelezaji  mradi wa maji wilayani Iramba,...

 

9 years ago

Dewji Blog

SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao

IMG_0942

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi   cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.

IMG_0945

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku akimpa mama msaada wa shilingi 50,000 zisaidie kumnunulia Neema Jonson (29) mkazi wa kijiji cha Mgongo wilaya ya Iramba kitanda. Neema ni mlemavu wa miguu na...

 

10 years ago

Dewji Blog

SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma

DSC04523

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo  Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.

DSC04526

Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria  mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MAZINGIRA AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE‏

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira, Dkt Binilith Mahenge. Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii mtandao huo.  Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI‏

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MObog). Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea...

 

10 years ago

Habarileo

Trilioni 1/- kuweka sawa majisafi na taka Dar

WIZARA ya Maji imesema mpango maalumu wa uboreshaji huduma za Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam unatarajiwa kugharimu Sh trilioni 1, Bunge limeelezwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO:Ni sawa kutumia dawa za 'Zmapp'

Dawa ambazo bado zinafanyiwa majaribio zinaweza kutumiwa kuwatibu wagonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

Habarileo

ZEC kuweka mazingira mazuri kwa walemavu

Mkurugenzi wa ZEC, Salum Kassim TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema itahakikisha inaweka mazingira mazuri kwa watu wenye ulemavu kushiriki katika Uchaguzi Mkuu na kuondoa vikwazo vyote vinavyokwamisha kutimiza haki ya msingi ya kidemokrasia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani