Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI‏

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MObog). Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wajapani kukarabati Reli ya Kati

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya, amesema Serikali yake imeweka mpango mkakati wa kuifanyIa matengenezo Reli ya Kati, kikiwemo kipande cha kati ya Kilosa na Dodoma.

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapokea Euro milioni 158.5 kutoka Ujerumani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya Euro milioni 158.5 na Serikali ya Ujerumani wenye lengo la kusaidia Bajeti ya Serikali pamoja na msaada wa kiufundi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelie aliposaini mkataba huo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke leo jijini Dar es salaam Dkt. Likwelile alisema kuwa lengo kuu la fedha hizo zitaelekezwa katika sekta ya Afya, Mazingira,...

 

9 years ago

Michuzi

TRL NA RAHCO WAAGIZWA KUKARABATI RELI NDANI YA SIKU 3!

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mbarawa  amezitaka Menejimenti za  Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Reli Rahco kufanya kila linalowezekana kuondoa athari za mafuriko ya mvua zilizoikumba eneo la stesheni za  Kilosa na Mzaganza ambako reli imekatika.

Mhe Waziri ameutaka uongozi huo kutumia ujuzi wao wote na wahandisi na mafundi wake  kurejesha tuta la reli katika hali ya kawaida ili huduma ziweze kuanza ndani ya siku 3 zijazo.
Aidha aliwataka...

 

10 years ago

GPL

SEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA‏

Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya wilaya ya Iramba. Kulia mwenye miwani ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda. Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Yahaya Nawanda, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa siku ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) WAIDHINISHA EURO MILIONI 350 MILIONI ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI AFRIKA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Kamati ya Mabalozi wa ACP leo Brussels. Kikao hicho kimeidhinisha Euro 350 milioni za kusaidia utekelezaji wa shughuli za kulinda amani Afrika zitakazotelewa na Jumuiya ya Ulaya kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (EDF).

 

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kuimarishwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Keshi kudai shirikisho Euro milioni 3.2

Kocha wa zamani nchini Nigeria,Stephen Keshi anaidai shirikisho la soka nchini humo Euro milioni 3.2 kama fidia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani