Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRL NA RAHCO WAAGIZWA KUKARABATI RELI NDANI YA SIKU 3!

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mbarawa  amezitaka Menejimenti za  Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Reli Rahco kufanya kila linalowezekana kuondoa athari za mafuriko ya mvua zilizoikumba eneo la stesheni za  Kilosa na Mzaganza ambako reli imekatika.

Mhe Waziri ameutaka uongozi huo kutumia ujuzi wao wote na wahandisi na mafundi wake  kurejesha tuta la reli katika hali ya kawaida ili huduma ziweze kuanza ndani ya siku 3 zijazo.
Aidha aliwataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.

 

9 years ago

Habarileo

Mbarawa aagiza TRL, RAHCO kushirikiana

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewaagiza watendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO), kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuboresha huduma za reli.

 

9 years ago

Michuzi

Profesa Mbarawa azitaka TRL na RAHCO kujiimarisha

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Prof. Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuboresha huduma za reli.
Akizungumza na watendaji wa TRL na RAHCO Prof. Mbarawa amewataka watendaji hao kutengeneza mkakati utakaowezesha usafiri wa reli nchini kuwa wa uhakika kwa abiria na mizigo ili kupunguza msongamano kwenye barabara na kuwezesha shehena kubwa ya mizigo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajapani kukarabati Reli ya Kati

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya, amesema Serikali yake imeweka mpango mkakati wa kuifanyIa matengenezo Reli ya Kati, kikiwemo kipande cha kati ya Kilosa na Dodoma.

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI‏

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MObog). Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea...

 

5 years ago

Michuzi

SIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto akionesha kwa wandishi wa habari bastola aina ya browning no.016975 ambayo wameikamata kwa kijana ambaye alikua akiimiliki kimakosa na kuitumia kufanyia uhalifu.Charles James, Michuzi TVASKARI wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) amesaidia kumkamata kijana mmoja jijini Dodoma akiwa na silaha Bastola aina ya browning yenye no.016975 akimiliki kinyume na sheria huku akiitumia kufanyia uhalifu.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja

SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.

 

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi uyoga unavyolimwa ndani ya reli

Si kawaida kuona shamba la uyoga ni reli iliyokuwa inatumika karne ya 19th, Mmiliki wa reli hiyo bwana Dean Smith anasema ana matumani kuwa mtu anaweza kutafuta namna ya kipekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani