Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi uyoga unavyolimwa ndani ya reli

Si kawaida kuona shamba la uyoga ni reli iliyokuwa inatumika karne ya 19th, Mmiliki wa reli hiyo bwana Dean Smith anasema ana matumani kuwa mtu anaweza kutafuta namna ya kipekee.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TRL NA RAHCO WAAGIZWA KUKARABATI RELI NDANI YA SIKU 3!

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mbarawa  amezitaka Menejimenti za  Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Reli Rahco kufanya kila linalowezekana kuondoa athari za mafuriko ya mvua zilizoikumba eneo la stesheni za  Kilosa na Mzaganza ambako reli imekatika.

Mhe Waziri ameutaka uongozi huo kutumia ujuzi wao wote na wahandisi na mafundi wake  kurejesha tuta la reli katika hali ya kawaida ili huduma ziweze kuanza ndani ya siku 3 zijazo.
Aidha aliwataka...

 

11 years ago

Mwananchi

Reli yawatunuku askari reli watunukiwa

Polisi wa Kikosi cha Reli wametunukiwa zawadi mbalimbali askari ikiwamo vyeti baada ya kukamata shehena ya mataruma na reli vyenye thamani ya zaidi ya Sh285 milioni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi amri ya kukaa nyumbani ilivyoibua mjadala kwa wafanyakazi wa ndani India

Mwishoni mwa wiki, India iliongeza muda wa marufuku ya kutoka nje katika taifa zima kwa muda wa usiku kwa siku 40 nyingine lakini wafanyakazi wa ndani wanaweza kuwa wanarundi nyumbani kwao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tazama jinsi hospitali hii ilivyojengwa ndani ya siku 10 ili kuwashughulikia waathiriwa wa virusi vya Corona China

Hospitali yenye uwezo wa kupokea wagonjwa 1,000 imejengwa mjini Wuhan ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona.

 

11 years ago

Mwananchi

Faida nyingi za uyoga kiafya

Uyoga ni miongoni mwa vyakula adimu sana duniani. Lakini ni miongoni mwa vyakula vyanye virutubisho muhimu sana kiafya tofauti na watu wengi wanavyodani.

 

11 years ago

Mwananchi

Watafutieni wananchi soko la uyoga

Shirika lisilo la Kiserikali la Farm Africa limeombwa kuwahakikishia soko la uyoga wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, kutokana na mafunzo ya ujasiriamali waliyopatiwa kuhusu namna ya kuzalisha zao hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uyoga unazuia mtu kunenepa :Utafiti

Utafiti nchini Taiwan na Uchina umebaini kuwa uyoga unaweza kutumika kuwasaidia watu kupunguza unene.

 

10 years ago

Habarileo

Wawili wafa kwa kula uyoga

WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA KULA UYOGA YAFANA BABATI



Shiriko lisilo la Kiserikali la Farm Africa kwa kushirikiana na wakulima wa uyoga wa wilaya za Mbulu na Babati wiki iliyopita waliandaa siku maalum ya kula uyoga kwa wakazi wa wilaya hizo.
Tukio hilo lilifanyika katika katika kitongoji cha Magugu wilayani Babati ambapo wakazi walipata nafasi ya kuonja aina mbalimbali za mapishi ya uyoga.Wakulima 15 wa uyoga walio katika mradi wa Misitu wa Farm Africa walishiriki shughuli hiyo kwa kupika na kugawa  bure uyoga uliopikwa kwa wakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani