Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA KULA UYOGA YAFANA BABATI



Shiriko lisilo la Kiserikali la Farm Africa kwa kushirikiana na wakulima wa uyoga wa wilaya za Mbulu na Babati wiki iliyopita waliandaa siku maalum ya kula uyoga kwa wakazi wa wilaya hizo.
Tukio hilo lilifanyika katika katika kitongoji cha Magugu wilayani Babati ambapo wakazi walipata nafasi ya kuonja aina mbalimbali za mapishi ya uyoga.Wakulima 15 wa uyoga walio katika mradi wa Misitu wa Farm Africa walishiriki shughuli hiyo kwa kupika na kugawa  bure uyoga uliopikwa kwa wakazi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SIKU YA MKULIMA WA UFUTA BABATI YAFANA SANA

Wasanii wa Goroa Tradition Dancing group wa Kata ya Qash Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakitoa burudani kwa wadau wa zao la ufuta, kwenye siku ya mkulima iliyofanyika katika kitongoji cha Maweni, Kata ya Endadosh Wilaya ya Babati Mkoani Manyara. Afisa kilimo wa mradi wa ufuta wa shirika la Farm Africa, Tumaini Elibariki akimsikiliza Mtafiti wa Biosciences for Farming in Africa, kutoka London Uingereza, Claudia Canales kwenye siku ya mkulima iliyofanyika juzi katika kitongoji cha...

 

10 years ago

Habarileo

Wawili wafa kwa kula uyoga

WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.

 

11 years ago

Michuzi

WILAYA YA BABATI YAADHIMISHA SIKU YA SERIKALI ZA MITAA

Ofisa habari wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Grace Msovela na baadhi ya viongozi wengine wa halmashauri ya mji huo wakikagua vyeti kabla ya kuvikabidhi kwa washindi wa mabanda ya idara mbalimbali za mji huo kwenye hitimisho la wiki ya Serikali za Mitaa ambapo kauli mbiu yake ni Katiba mpya izingatie kuwa Serikali za Mitaa ni msingi wa maendeleo endelevu:Mwananchi shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Andrew...

 

10 years ago

Michuzi

exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati

 Kikosi cha Timu ya Benki ya Exim Tawi la Babati katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya timu hiyo ya Benki na timu ya Babati Citizens FC wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika mwishoni mwa wiki Babati. Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa mkoani Manyara lilikiwa na lengo la kukuza michezo mkoani hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Wazee wasusa kula siku 2 wakimlilia RC Massawe

Kanali mstaafu Fabian MassaweWAZEE wasiojiweza na watoto yatima walioko katika Kituo cha Kiilima kilichoko Bukoba Vijijini, wamesema walilazimika kususa kula kwa siku mbili mwezi uliopita baada ya kupata habari za kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe.

 

10 years ago

GPL

SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA

Wasanii Mrisho Mpoto na Kundi la Orijino Commedi.…

 

10 years ago

Mwananchi

Zinakaribia siku za CCM kula gizani machungwa yaliyooza

Kuna kisa cha msafiri mmoja aliyeomba mahali pa kulala kwa mjumbe wa Serikali ya Mtaa ili kesho yake aendelee na safari yake. Alifika saa 5.00 usiku na kwa kuwa mjumbe alikuwa amekwisha kula, alichofanya ni kumwandalia msafiri huyo mahali pa kulala, basi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yafana

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 2

Wanafunzi wa Stashada wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika wakiwa wameshikilia bendera za nchi wanachama wanaoshikiana na nchi ya Tanzania kuendesha chuo hicho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yaliyofanyika jana katika Chuo hicho kilichopo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Takwimu Bora, Maisha Bora”.

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 3

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati akihutubia kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

SIKU YA FAMILIA YA GAPCO TANZANIA YAFANA SANA

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (wa tatu kushoto) akikabidhi kikombe cha ushindi wa kuvuta kamba kwa timu ya kitengo cha uendeshaji baada ya kuibuka kidedea katika mashindano ya kuvuta kamba katika hafla ya Gapco Family Day, liliyofanyika mwishoni kwa wiki, Escape One, Jijini Dar es salaam. Wafanyakazi GAPCO pamoja na familia zao wakishiriki kucheza Zumba Dance kwenye siku ya familia ya GAPCO, iliyofanyika mwishoni kwa wiki, Escape One, Jijini Dar es salaam. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani