exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati
![](http://1.bp.blogspot.com/-3cvOrxqZiy8/VPP3nG6lNxI/AAAAAAAC0ws/zSjT2gJVFcA/s72-c/eximite%2BBabati.jpg)
Kikosi cha Timu ya Benki ya Exim Tawi la Babati katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya timu hiyo ya Benki na timu ya Babati Citizens FC wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika mwishoni mwa wiki Babati. Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa mkoani Manyara lilikiwa na lengo la kukuza michezo mkoani hapo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
TIGO yashiriki bonanza la michezo la makampuni
Timu ya kampuni ya Tigo ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wenye lengo la uhusiano bora wa makampuni.
Wachezaji wa Kampuni ya Tigo na Caspian wakichuana kwenye mpambano mkali jana viwanja vya Chuo cha Ardhi.
5 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Babati yalia utekelezaji bajeti
HALMASHAURI ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara inakabiliwa na changamoto ya utekelezaji wa ukusanyaji wa mapato ya zaidi ya sh bil. 31 kwa bajeti ya mwaka 2013/2014 kutoka katika vyanzo...
9 years ago
StarTV25 Aug
Askari Magereza mbaroni Babati
Polisi mkoani Manyara inamshikilia askari mmoja wa jeshi la Magereza wilayani Babati mkoani Manyara kwa tuhuma za kuwashawishi wenzake 10 kuwavamia wakazi wa eneo la Kijiweni Mrara wilayani humo na kuwapiga pamoja na kuharibu mali zao.
Askari anayeshikiliwa na polisi ni Konstebo Jackson ambaye inasemekana aliwashawishi wenzake baada ya yeye kupigwa na wakazi hao wakati akiamua ugomvi wa vijana katika eneo hilo. Mwanahabari wetu Zacharia Mtigandi ametuandalia jicho letu mikoani ambalo...
10 years ago
IPPmedia14 Nov
IAA launches new campus in Babati
IPPmedia
IPPmedia
Manyara Regional Commissioner Erasto Mbilo (L) officially launches the new campus for Institute of Accountancy Arusha in Babati in manyara Region on Wednesday. The Institute of Accountancy Arusha (IAA) on Wednesday launched a new campus in ...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Daktari wa ‘kichina’ anaswa Babati
WATU saba wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Manyara, akiwemo daktari bandia na wengine katika mtandao wa wizi wa magari uliyotokea jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Kamanda...
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Wakazi Babati kuwezeshwa kiuchumi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nJhb2izRqBY/VAhq97ehDTI/AAAAAAAGd7g/j2HX_FfsYZw/s72-c/Ni%2Bwakati%2Bwa%2Bkula%2Buyoga!.jpg)
SIKU YA KULA UYOGA YAFANA BABATI
Shiriko lisilo la Kiserikali la Farm Africa kwa kushirikiana na wakulima wa uyoga wa wilaya za Mbulu na Babati wiki iliyopita waliandaa siku maalum ya kula uyoga kwa wakazi wa wilaya hizo.
Tukio hilo lilifanyika katika katika kitongoji cha Magugu wilayani Babati ambapo wakazi walipata nafasi ya kuonja aina mbalimbali za mapishi ya uyoga.Wakulima 15 wa uyoga walio katika mradi wa Misitu wa Farm Africa walishiriki shughuli hiyo kwa kupika na kugawa bure uyoga uliopikwa kwa wakazi wa...