Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIGO yashiriki bonanza la michezo la makampuni

1

Timu ya kampuni ya Tigo ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wenye lengo la uhusiano bora wa makampuni.

2

Wachezaji wa Kampuni ya  Tigo na  Caspian wakichuana kwenye mpambano mkali jana viwanja vya Chuo cha Ardhi.

3

4

5

6

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati

 Kikosi cha Timu ya Benki ya Exim Tawi la Babati katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya timu hiyo ya Benki na timu ya Babati Citizens FC wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika mwishoni mwa wiki Babati. Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa mkoani Manyara lilikiwa na lengo la kukuza michezo mkoani hapo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni 37 yashiriki maonyesho ya siku ya Malaria nchini

A

Mkurugenzi wa kampuni  ya Frontline Porter Novelli  Bi. Irene Kiwia akimkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Suleiman Rashid kwenye maonyesho ya siku ya malaria yaliyofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

B

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid alipotembelea banda la malaria safe lililokuwa linasimamiwa na wafanyakazi wa Johnhopkins University kwenye maonyesho ya siku ya Malaria.

C

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yashiriki matembezi ya kuchangia saratani ya matiti

DANDERSON

Afisa huduma kwa jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana.

DANDERSON

DANDERSON

Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana.

DANDERSON

 

 

 

9 years ago

Dewji Blog

Bonanza la Tigo Corporate Event lafana mjini Morogoro

PICHA NO.6

Kikundi cha burudani cha Da Hustler Dancers cha mkoani Morogoro kikifanya onyesho katika Bonanza la Tigo Corporate Event lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Solomon Mahlangu Morogoro.

PICHA NO7

Mchezaji wa timu ya netball ya St. Joseph, Salome John akifunga doli katika mchezo wao dhidi ya timu ya tigo. Kwnye mchezo huo Tigo walilala kwa vikapu 5-0.

PICHA NO.4

Meneja wa Tigo mkoa wa Morogoro na Tanga, Abasi Abel akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi Chipolopolo katika ufunguzi wa bonanza la...

 

11 years ago

Michuzi

BONANZA LA MICHEZO LA PPF LAFANA SANA

Mkufunzi wa mazoezi ya viungo, Taifa Liwewa (Kushoto), akiwaongoza wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa mazoezi ya viungo, kwenye bonanza la michezo lililoandaliwa na Mfuko huo na kufanyika viwanja vya Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 19, 2014. Mgeni rasmi kqwenye tamasha hilo lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo, kuvuta kamba na soka, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William...

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA MICHEZO LA VIJANA LAFANYIKA JIJINI MBEYA

Hapa wakiwa katika mashindano ya kuvuta kamba.
Mchezo mwingine ulikuwa ni kutembea ndani ya magunia.…

 

10 years ago

Michuzi

TBL yadhamini Bonanza la Michezo jijini Dar


 Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto) akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini.  Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati) akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans. Kikosi cha Makabe Veterans wakiwa...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA PROIN PROMOTION ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Promotion Ltd Bw. Johnson Lukaza (kushoto) alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika maonyesho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika kitaifa mkoani Dodoma leo.Kulia ni Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi wa Filamu na Michezo ya kuigiza Tanzania Bibi. Joyce Fissoo(kushoto) akielezea jambo kwa Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin...

 

11 years ago

Michuzi

Nike yaongoza mtanange wa makampuni ya vifaa vya michezo katika kombe la dunia Brazil

 Na Sultani Kipingo  wa Globu ya Jamii
Uwezo wa kifedha wa Nike unaipaisha kampuni hiyo katika vita vya Kombe la Dunia 2014 kwa kuiongoza kampuni ya Adidas kwa mabao 4 katika awamu ya makundi ya michuano hiyo huko Brazil.  Kampuni ya Nike ambayo ndio kubwa zaidi duniani kwa vifaa vya michezo imeonesha umwamba wake baada ya nyota inayowadhamini kufunga mabao 61 katika awamu hiyo ya makundi, huku Adidas ikifuatia kwa magoli 57.

 Lakini Adidas wanaweza kupata ahueni kwa kuwa na njumu bora,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani