TBL yadhamini Bonanza la Michezo jijini Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-i6H1b8AlbiY/VWtMh5zTC0I/AAAAAAAAsl0/V_Kz4_Nfjyw/s72-c/IMG-20150531-WA004.jpg)
Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto) akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini. Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati) akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans.
Kikosi cha Makabe Veterans wakiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
9 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO LA CHUO CHA IFM
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-e217tcucHMI/VXhOAUZDscI/AAAAAAAHeeY/GH4vx2dKfuY/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
BENKI YA CRDB YADHAMINI TAMASHA LA MICHEZO NA AFYA JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-e217tcucHMI/VXhOAUZDscI/AAAAAAAHeeY/GH4vx2dKfuY/s640/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
11 years ago
GPLBONANZA LA MICHEZO LA VIJANA LAFANYIKA JIJINI MBEYA
11 years ago
GPLWAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
GPLDAR LIVE BONANZA LILIVYOTINGISHA MBAGALA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar
Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.
Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bARvaVCmH-0/VfABeeEHq_I/AAAAAAAH3iA/TmiGs0m7708/s72-c/IMG-20150901-WA0020.jpg)
TOTAL TANZANIA YADHAMINI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA SHULE 10 ZA MSINGI JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-bARvaVCmH-0/VfABeeEHq_I/AAAAAAAH3iA/TmiGs0m7708/s640/IMG-20150901-WA0020.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0otNurSi4ZY/VfABeSGeAmI/AAAAAAAH3h8/tSEy1sINCGA/s640/IMG-20150831-WA0020.jpg)
Na Tom Bishop. KAMPUNI ya Mafuta ya Tatal Tanzania imedhamini mafunzo ya usalama barabarani kwa shule za msingi 10 jijini Dar es Salaam. Udhamini wa mafunzo hayo yamegharimu kiasi cha Dola za Kimarekani 20,000 kupeleka kwenye mradi wake wa elimu ya usalama...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Tigo yadhamini shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana jijini Dar es Salaam
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Mwanzilishi wa Apps & Girls Bi. Carolyne Ekyamsiima akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana. Mradi huu upo...