Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WILAYA YA BABATI YAADHIMISHA SIKU YA SERIKALI ZA MITAA

Ofisa habari wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Grace Msovela na baadhi ya viongozi wengine wa halmashauri ya mji huo wakikagua vyeti kabla ya kuvikabidhi kwa washindi wa mabanda ya idara mbalimbali za mji huo kwenye hitimisho la wiki ya Serikali za Mitaa ambapo kauli mbiu yake ni Katiba mpya izingatie kuwa Serikali za Mitaa ni msingi wa maendeleo endelevu:Mwananchi shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Andrew...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YANYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU

Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wakati kamati hiyo ilipotembelea halmashauri kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Michael Hadu akijibu hoja mbele ya kamati hiyo.
Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa (LAAC) wakiwa katika eneo ilipojengwa shule ya sekondari Singland kukagua ujenzi wa vyumba vya...

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

11 years ago

Michuzi

FARM AFRICA YAKABIDHI PIKIPIKI 10 KWA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA BABATI NA MBULU MKOANI MANYARA

Farm Africa kupitia mradi wake Usimamizi Endelevu Mfumo wa Ikolojia wa Msitu wa Nou (SNFEMP) na kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za wilaya za Mbulu na Babati.
Pikipiki hizo 10 aina ya Honda XL zina thamani ya jumla ya Shilingi Milioni Sabini na Tano. Maafisa Misitu wa wilaya za Babati na Mbulu wakiwa na pikipiki walizokabidhiwa. Akipokea pikipiki hizo katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya Farm Africa, Dareda Babati, Ijumaa tarehe 14...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA KULA UYOGA YAFANA BABATI



Shiriko lisilo la Kiserikali la Farm Africa kwa kushirikiana na wakulima wa uyoga wa wilaya za Mbulu na Babati wiki iliyopita waliandaa siku maalum ya kula uyoga kwa wakazi wa wilaya hizo.
Tukio hilo lilifanyika katika katika kitongoji cha Magugu wilayani Babati ambapo wakazi walipata nafasi ya kuonja aina mbalimbali za mapishi ya uyoga.Wakulima 15 wa uyoga walio katika mradi wa Misitu wa Farm Africa walishiriki shughuli hiyo kwa kupika na kugawa  bure uyoga uliopikwa kwa wakazi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Iringa yaadhimisha Siku ya Mkwawa

KWA mara ya kwanza Mkoa wa Iringa umeadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Chifu wa Wahehe, Mtwa Mkwawa tangu afariki kwa kujiua mwenyewe miaka 116 iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dunia yaadhimisha Siku ya Mandela

KATIKA kutambua na kukumbuka mchango wa aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, dunia imeadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaadhimisha siku ya saratani

Hospitali ya saratani jijini Dar es salaam, imetoa vipimo vya bure kwa wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA MKULIMA WA UFUTA BABATI YAFANA SANA

Wasanii wa Goroa Tradition Dancing group wa Kata ya Qash Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakitoa burudani kwa wadau wa zao la ufuta, kwenye siku ya mkulima iliyofanyika katika kitongoji cha Maweni, Kata ya Endadosh Wilaya ya Babati Mkoani Manyara. Afisa kilimo wa mradi wa ufuta wa shirika la Farm Africa, Tumaini Elibariki akimsikiliza Mtafiti wa Biosciences for Farming in Africa, kutoka London Uingereza, Claudia Canales kwenye siku ya mkulima iliyofanyika juzi katika kitongoji cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani