Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iringa yaadhimisha Siku ya Mkwawa

KWA mara ya kwanza Mkoa wa Iringa umeadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Chifu wa Wahehe, Mtwa Mkwawa tangu afariki kwa kujiua mwenyewe miaka 116 iliyopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa akimkaribisha Kinana kutembelea makumbusho ya Chifu Mkwawa katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA, MKOANI IRINGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya waWahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga leo Februari 16, 2015Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya waWahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA


3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na   Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
56
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
8
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...

 

11 years ago

CloudsFM

PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.

WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  wakizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa leoWaziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

GPL

KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA - APEWA HESHIMA YA UCHIFU WA WAHEHE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA SOKO KUU LA MANISPAA YA IRINGA.

 Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Meya wa manispaa hiyo Bw. Amani Mwamwindi (wa pili kulia) wakati wafanyakazi hao walipojitokeza kufanya usafi kwenye soko kuu la manispaa ya Iringa mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira. Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dunia yaadhimisha Siku ya Mandela

KATIKA kutambua na kukumbuka mchango wa aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, dunia imeadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani