KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA - APEWA HESHIMA YA UCHIFU WA WAHEHE
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA
10 years ago
Dewji Blog07 Oct
Kinana apewa heshima ya Uchifu wa Kihehe Mkwawa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita za kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za watu na kuzitafutia ufumbuzi.Katika mkutano huo Kinana aliitaka Serikali kuandaa utaratibu mzuri wa kuwatafutia soko la uhakika wakulima.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA WA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ydINIFmmDA8/VYW6GhIXGNI/AAAAAAAHh20/R2td16tA1o4/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ydINIFmmDA8/VYW6GhIXGNI/AAAAAAAHh20/R2td16tA1o4/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-O-KpLwQoJOc/VYW6HWEpsYI/AAAAAAAHh28/VDVglWAT9cE/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JJpIAa2vzxA/VYW6G5DI6cI/AAAAAAAHh24/0eMwSVx2CQ4/s640/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3ZNaaScuphA/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Chifu Adam Sapi Mkwawa wa Pili, kusubiri miaka 7 aongoze Wahehe
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ooHhr5L6kk4/VOIEG_PIUzI/AAAAAAADZqk/AONBQ8_AeJU/s72-c/mk4.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ooHhr5L6kk4/VOIEG_PIUzI/AAAAAAADZqk/AONBQ8_AeJU/s1600/mk4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EVKCGRw27q4/VOIEH06xSFI/AAAAAAADZq8/niImwk9q9tg/s1600/mk5.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjKSX-TpniUi4eEUKE0RNM7RF3job6RDbJAUijr3jW0s3YHrxHcEWcIKh0svIp9AZ2TIMr6Cio8xPrT38Ex*ijIm/335.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA, MKOANI IRINGA
10 years ago
Michuzi17 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/335.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
![5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/526.jpg)
![6](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/621.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
![8](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/812.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.
WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.
Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...