KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani.
Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa
Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa akimkaribisha Kinana kutembelea makumbusho ya Chifu Mkwawa katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA - APEWA HESHIMA YA UCHIFU WA WAHEHE
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO


10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA, MKOANI IRINGA
10 years ago
Michuzi17 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.
WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.
Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...
10 years ago
Michuzi
PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA



10 years ago
Michuzi
11 years ago
Vijimambo
KINANA ATEMBELEA JIMBO LA KALENGA LENYE HISTORIA YA KIPEKEE DUNIANI



11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Pinda kubariki kumbukizi ya Chifu Mkwawa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anatarajia kuwaongoza wanakijiji cha Kalenga na Mkoa wa Iringa katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa itakayofanyika kijijini hapo Julai 19....