Pinda kubariki kumbukizi ya Chifu Mkwawa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anatarajia kuwaongoza wanakijiji cha Kalenga na Mkoa wa Iringa katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa itakayofanyika kijijini hapo Julai 19....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMH. MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ABDU MKWAWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chief wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.
WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.
Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...
10 years ago
Michuzi
PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA



10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ADAM SAPI MKWAWA
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Grace Tendega anaandika historia ya Chifu Mkwawa
SIFA moja kubwa aliyokuwa nayo Chifu wa Wahehe, Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, ambaye alijulikana kwa jina la Chifu Mkwawa, enzi za uhai wake ni heshima kwa wanawake. Aliwaheshimu sana wanawake, aliwajali...
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK aomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa
.jpg)
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza leo, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo cha Chifu Mkwawa ambaye amemwelezea kama “Chifu mzuri, kiongozi na mtu wa watu, ambaye katika maisha...
11 years ago
MichuziKINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA
10 years ago
Michuzi17 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...