Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia jana, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza leo, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo cha Chifu Mkwawa ambaye amemwelezea kama “Chifu mzuri, kiongozi na mtu wa watu, ambaye katika maisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa

3

Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa (wa kwanza kushoto) enzi za uhai wake akiwa na machifu wasaidizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.

Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo...

 

10 years ago

Vijimambo

:Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa,

 Rais Jakaya Kikwete
---

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza leo, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo cha Chifu Mkwawa ambaye amemwelezea kama “Chifu mnzuri, kiongozi na mtu wa...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  wakizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa leoWaziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ABDU MKWAWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chifu wa Wahehe , Mtwa Adam Mkwakwa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chief wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa...

 

11 years ago

CloudsFM

PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.

WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Chifu Adam Sapi Mkwawa wa Pili, kusubiri miaka 7 aongoze Wahehe

Unapokutana naye kwa mara ya kwanza huwezi kubaini tofauti yake na watoto wengine wenye umri  wa miaka 13 kama alivyo yeye ambao hupenda na kufurahia kucheza michezo mbalimbali ikiwamo ya kompyuta, kuendesha baiskeli, mpira wa kikapu hasa baada ya kumaliza mazoezi ya shuleni au kusaidia kuuza duka la familia.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ADAM SAPI MKWAWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chifu wa Wahehe , Mtwa Adam Mkwakwa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa...

 

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani