Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana apewa heshima ya Uchifu wa Kihehe Mkwawa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita za kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za watu na kuzitafutia ufumbuzi.Katika mkutano huo Kinana aliitaka Serikali kuandaa utaratibu mzuri wa kuwatafutia soko la uhakika wakulima.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA WA...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA - APEWA HESHIMA YA UCHIFU WA WAHEHE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa…

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI


Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi

Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AWAHUTUBIA WANANCHI WA URAMBO,ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WANYAMWEZI.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu  Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa jimbo la Urambo,katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwananchi Skwea mjini Urambo,mkoani Tabora.
Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Nape Nnaye yuko katika ziara ya mikoa mitatu ya Tabora,Singida na Manyara,ya kuimarisha uhai wa chama,kukagua miradi mbalimbali ya maenedeleo inayotekelezwa na kusimamiwa na Serikali ya CCM,na pia kusikiliza matatizo ya wananchi na...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa akimkaribisha Kinana kutembelea makumbusho ya Chifu Mkwawa katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MRISHO SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38, Jenerali Sarakikya pia  amepewa Kadi maalum ya kuingia mbuga zozote za TANAPA Bure yeye pamoja na familia yake, lakini katika hatua nyingine  atalipiwa gharama zote za kushiriki mkutano wa masuala ya utalii kuhusu milima mirefu zaidi duniani  yeye pamoja na mke wake huko nchini Marekani, Katika mkutano huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana alakiwa kwa Shangwe Mtwara vijijini, atoa heshima kwenye kumbukumbu ya mnara wa shujaa Hamad Mzee

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ALAKIWA KWA SHANGWE MTWARA VIJIJINI, ATOA HESHIMA KWENYE MNARA WA SHUJAA HAMAD MZEE ALIYETUNGUA NDEGE MBILI ZA KIRENO KATIKA VITA VYA UKOMBOZI WA MSUMBIJI

 Wananachi wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Wilaya ya Mtwara Vijijini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. 

 Kinana akizungumza wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Kibaoni, Mtwara Vijijini leo.
 Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika Katika Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya Mtwara...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFANYA MKUTANO GEITA JIMBO LA BUSANDA, ASIMIKWA UCHIFU WA WASUKUMA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni leo GeitaWazee wamsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa Uchifu wa Wasukuma leo




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani