Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dunia yaadhimisha Siku ya Mandela

KATIKA kutambua na kukumbuka mchango wa aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, dunia imeadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Dunia yaadhimisha Mandela Day ya kwanza tangu kifo chake

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96. Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati […]

 

11 years ago

CloudsFM

Dunia yaadhimisha Mandela Day kwa mara ya kwanza tangu kifo chake....

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.

Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati za kupigania uhuru za Mandela nchini Afrika Kusini. Mandela alifariki December 5 mwaka jana akiwa na miaka 95 kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Shughuli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaadhimisha siku ya saratani

Hospitali ya saratani jijini Dar es salaam, imetoa vipimo vya bure kwa wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Iringa yaadhimisha Siku ya Mkwawa

KWA mara ya kwanza Mkoa wa Iringa umeadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Chifu wa Wahehe, Mtwa Mkwawa tangu afariki kwa kujiua mwenyewe miaka 116 iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Dunia yaadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa vita

>Dunia imeadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa Vita vya Pili ya Dunia baada ya Jeshi la Kinazi la Ujerumani kujisalimisha kwa jeshi la muungano wa Jamhuri za Kisovieti, Mei 8, mwaka 1945.

 

10 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwinyi Khamis ambae ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani akitizama Mkoba na bidhaa zilizotengenezwa na Wazee wa Zanzibar, Huko Dole Wilaya ya Magharibi.Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani. Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoadhimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi. Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah akimkaribisha...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yaadhimisha siku ya hedhi duniani

Tanzania imeadhimisha siku ya hedhi duniani, ambapo wizara ya elimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekubaliana kuandaa na kusimamia sera inayoondoa vikwazo kwa watoto wa kike katika masomo yao.
Akizungumza katika maadhimisho hayo jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Elimu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Madina Kemilembe, alisema kukosekana kwa miundombinu rafiki mashuleni kunasababisha wanafunzi kutohudhuria masomo.
Alisema ukosefu wa mazingira bora kama vyoo, maji safi...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KANSA DUNIANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar. Baadhi ya wananchi waliohudhuria...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KICHOCHO LEO

 Mkuu wa Divishen ya Elimu Zanzibar Maalim. Ahmed Abdul-majid ambae ni Mgeni rasmin siku ya Kichocho Zanzibar, akihutibia wananchi na wanafunzi waliofika katika hafla hiyo huko Skuli ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja ambapo kunasadikiwa kuwa na wingi wa Koa wambukizao Kichocho  Wanafunzi wakionyesha picha jinsi ya maambukizi ya Kichocho yanavyopatikana.  Sehemu ya wanafunzi  waliofika katika sherehe ya siku ya Kichocho inayoadhimishwa kila mwaka hapa Zanzibar.  Aina za Konokono...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani