Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwinyi Khamis ambae ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani akitizama Mkoba na bidhaa zilizotengenezwa na Wazee wa Zanzibar, Huko Dole Wilaya ya Magharibi.Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani. Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoadhimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi. Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah akimkaribisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KANSA DUNIANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar. Baadhi ya wananchi waliohudhuria...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

 Wauguzi wa  Zanzibar wakila kiapo cha Utii katika maadhisho ya siku ya wauguzi Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 12 Mei.  Maadhimisho hayo yalifanyika Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu   Wauguzi wa Zanzibar wakiimba nyimbo ya siku ya wauguzi Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu.   Muuguzi Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Bi. Wanu Bakari Khamis akisoma risala ya siku ya wauguzi Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yaadhimisha siku ya hedhi duniani

Tanzania imeadhimisha siku ya hedhi duniani, ambapo wizara ya elimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekubaliana kuandaa na kusimamia sera inayoondoa vikwazo kwa watoto wa kike katika masomo yao.
Akizungumza katika maadhimisho hayo jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Elimu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Madina Kemilembe, alisema kukosekana kwa miundombinu rafiki mashuleni kunasababisha wanafunzi kutohudhuria masomo.
Alisema ukosefu wa mazingira bora kama vyoo, maji safi...

 

10 years ago

GPL

DAR YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI

Brass Band ya polisi ikiongoza msafara wa vijana kutoka Shule ya Sekondari ya Jangwani kuelekea Mnazi Mmoja Dar. Maandamano yakiendelea.…

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje yaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule akipanda mti katika kuashiria kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani katika eneo la Kituo wa Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kilichopo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo iliadhimishwa duniani kote tarehe 05 Juni, 2014.

 

11 years ago

Michuzi

WWF TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA WANYAMAPORI DUNIANI,HUKO WILAYANI TUNDURU

Baadhi ya shule za msingi na sekondari katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, zikiongoza maandamano ya wananchi kuhamasisha kulinda na kuhifadhi maliasili za nchi katika kuadhimisha siku ya wanyamapori duniani, tarehe 3 Machi 2014. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Bakari Chande Nalicho (wa kwanza kulia), wawakilishi wa WWF-Tanzania Rodney Ngalamba na Nalimi Madata, mkurugenzi halmashauri wilaya ya Tunduru John Kamwela na afisa maliasili wilaya ya Tunduru Japhet Mnyagala, wakipokea maandamano...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA -TCRA KANDA YA ZIWA YAADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MTUMIAJI DUNIANI


Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa imeadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani (World Consumer Rights Day) leo Machi 9,2020 kwa kutoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Shinyanga juu ya haki za watumiaji wa Huduma za Mawasiliano.

Akizungumza, Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alisema TCRA Kanda ya Ziwa imeadhimisha siku hii leo Machi 9,2020 ambapo Kidunia itafanyika Machi 15,2020 kwa kauli mbiu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani